Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Kwanza kwa nini unadhani ulimwengu na vilivyomo ndani yake viliumbwa?

Kama ni lazima kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa basi hata na huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Hawezi kuwepo tu, kwa kutokea from no where

Sasa uki lazimisha ulimwengu uwe na muumbaji lazima pia uoneshe muumbaji wa huyo Mungu.

Maana lazima kila kitu kiwe na Muumbaji.

Vinginevyo, Usiharibu maudhui ya Uzi huu unaohusu "wadada wasio tongozwa"
 

Wamekujaza upuuzi ukapumbazika yani upo kama lizombi,hakuna kiama wala nini dunia hii ipo na itaendelea kuwepo milele.
 
Umesema ukweli mkuu.HALI YA MAISHA NI NGUMU ndo maana mtu anashindwa kuanzisha mahusiano kama ayuko vizur mfukoni.
 

Yawezekana mungu yupo ila hayupo kwenye hizo soga za dini zenu.
 
Kuna mmoja Mwanachuo tulikutana Hotelini wakati wa msosi,tukawa meza moja stori stori tukapeana namba baadae kesho yake nikamtafuta nikaomba appointment, akaanza oh sidhani kama tutakutana maana nina Boy wangu nampenda sana,nikamjibu OK poa,nikafuta namba yake. Kesho ananitumia SMS nimuongezee hela ya kusuka,nikamuuliza namwongezea hela Mimi kama nani yake,akaanza oh sio hivyo unavyofikiria wewe niongezee then tutakutana,nikamchana makavu nikamwambia asinisumbue tena.
 
Vijana mnajitia wenyewe umaskini unataka umiliki wanawake 10 kwa kipato kipi??? Alishalaanika anaendekeza pombe Na wanawake hatokuwa tajir wala Mwenye mafanikio Na huondoa humpambaza mwanaume Mwenye akili.tatizo sio wanawake tatizo ni sis wanaume misimamo ya vijana Wa sasa ni F kabisa.Vijana Wa sasa wanakimbia majukumu yao ya msingi wanataka mtelemko tu Na ndio maana waliwa sana.hakuna sehemu iliyo andikwa mwanamke ale kwa jasho jukumu lake ni kumtii mwanaume tu.swala la kutongoza siku Hz maungo yote tunayaona waz tu muda wote uvaaj Wa wanawake ni mbaya sana una asili saikolojia.pia siku hiz kila mtu yuko Na familia yake tu kuliko kuhangaika kuleta nuks Na migogoro ndani ya nyumba
 
Halafu hivi vikundi vya kufa na kuzikana vimekuwa kero katika jamii, wakati mwingine namuuliza wife, umeingia huko kwa sababu unajua nitawahi kufa! Sababu najua mtu akifa awe kwenye kikundi asiwe kwenye kikundi jamii itazika tu.
Umenikumbusha post ya jamaa mmoja humu aliandika akisema "ukimsalmia jirani yako mara ya kwanza, ya pili, ya tatu, asipoitikia kaa kimya endelea na mishe zako. Hakuna maiti ya mtu iliyoozea mtaani kwamba imekosa mtu wa kuizika"

Nikacheka sana. Akimaanisha usijipendekeze kwa mtu yeyote asiekupenda kwa kuhofia kwamba ukigombana nae siku ukifa utakosa mtu wa kukuzika.
 
Siku hizi unaweza kutongoza ukapewa kesi ya sexual harassment.

Hatutongozi. Tunaongoza.
 
Hahahahaha
 
Mshaanza kuleta fix zenu za kidini..
Kwani ni lini wanawake washawahi kuwa wachache kuliko wanaume????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha
Hako kametest free wifi imekubali... Kazi unayo 🤣
 
Unahudumia vyote hivyo kisha unaambiwa huna nguvu za kiume. Bora ukakodishe mbuchuchu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…