Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Mbona kinyama hivyo?
 
Hiyo ni kwenu, sisi Wakristo halipo kwenye vitabu vyetu kuwa atakuja sijui malaika this and that... hivyo siamini kwa sababu halipo kwenye kitabu changu.
 
Ila nyie watu wa dini mnafix sanaa, hebu ongea kwa facts
Naomba figure za idadi ya watu miaka ya
1. 1400
2. 1500
3.1700
Mpaka 2000 na 2023 ili tuone huko nyuma wanawake hawakuwa wengi?

#YNWA
 
Wanawake mahitaji yao yameongezeka kwahiyo ukijifanya kichwa maji utakalia kufanya kaz pesa inaishia kwa mwanamke tu ambae huna future nae yoyote
Ndio maana sijawahi tegemea hela ya mtu toka nianze kujitegemea. Napanga matumizi yangu kulingana na kipato changu. Mimi ni mwendo wa nywele fupi hela ya saloon bora nitumie kufanya mambo mengine. Kuombaomba ili hali una mikono na miguu ni utumwa
 
Safi sana asee! Njoo uchukue maua yako...
 
Wanawake ni mama zetu na dada zetu (ashakum si matusi) ila ni washenzi sana!

Unadhani unahudumia mwanamke wako kumbe unahudumia mke wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…