Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Vijana wote wa hovyo mtaenda motoni[emoji26]Baada ya wanawake kuweka pesa mbele vijana nao wameona hakuna haja tena ya kutongoza na kumiliki demu kama huna mpango wa kuoa,ni telegram tu mzigo hadi geto[emoji28].
Mambo ya bby hela ya gasi,ya kusuka,ya kodi,akiumwa utibie,ya gauni fasheni mpya hii kero yote ya nini wakati maokoto yenyewe bado hayaja kaa vizuri.
Dah![emoji28]Unamtongoza leo, kesho anakulalamikia simu yake imepasuka imevujia kioo, gesi imekata na anatumia mtungi mkubwa hujakaa sawa kodi 100k kwa mwezi inakaribia kuisha na mwenye nyumba wake anachukua ya miesi sita tu, hajui atalipaje, ghafla atakuambia mama yake mgonjwa na yeye ndio dada mkubwa wa familia, hujakaa sawa ATM kadi yake imemezwa na hajui afanyeje...
Yani binti anakua tegemezi kwako kwa kila kitu, ukiangalia kitu pekee anachoweza ku-offer ni mbususu ambayo hata pale riverside zinapatikana bwerere. Yani hata mawazo ya maendeleo hakupi zaidi ya stress na matatizo yasiyokwisha.
Nakazia,Nitongoze kwani ina tv ndani saizi ni mwendo mikausho mikali wanawake hawana shukraniView attachment 2741322
NakaziaMabinti wa siku hizi wamekuwaa wepesi mnooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngono (Zinaa) imekua kitu rahisi mno kupatikana, wanawake wanatembea uchi lkn pia kizazi kimekua na wanawake wenye tamaa, ukimtongoza babu anafariki kesho yake, mwenye nyumba anadai kodi na simu inadumbukia chooni sasa unategemea nini
Kweli aiseeIla kwel mkuu.Embu niambie bila utelezi ni nn kingine tunapata kama sio tunapoteza hela tu + stress.
Si bora uwe na mtu mnakutana unamkata chake mñachana.
Huyu demu kama vile namfahamu kwenye anga za mapito yangu ya kusafiri huku na kule ni makabila fulani adimu kwenye antenna za utulivuWatu hawana shobo tena na mademu ni mikausho mikali ..
Mkuu umeongea kwa jazba ukiwa umekaza macho machozi yakikulenga na ukifoka huku ukirusha mateBuguruni buku 3 na maji ya kuoga wapelekewa bafuni kwa adabu.
Kama maziwa twanunua dukani,kuna haja gani ya kufuga ling'ombe.?
Ngoja hii comment nikaiwekee frame1.hatuna pesa
2. hatujiamini (utajiamini huna hela)
3.mizinga
Tatizo ukimtongoza Mwanamke unajitengenezea mazingira magumu ya kumpata[emoji4]
Unatakiwa kutengeneza sumaku tu ambayo itamnasa na sio kutumia nguvu nyingi,Ila kutongoza sometimes ni kama kujishushia heshima.
Wewe ni Gwiji brother.
Hivi kuna raha yoyote huwa unajisikia wakat unamtongoza mwanamke.
Ila mimi naamini kunakuwga na tinga ling sensation flani hivi wakati mnatongozana yaani kuna mutual feeling yaani mna play game .
Sasa hawa wadada now day hata kutoa green light hawataki.
Huyo anataka ndoa mkuu, yuko Geita hukoo.... Tena kuna dalili ni ka bikra😀Nipe hiyo wa miaka 25 kamanda nijitafunie