Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Wanawake siku hizi hawana soni, wakavu wengi wao wana haiba za kimalaya.

Mama zetu wa zamani walikuwa na soni, aibu na watii na hawakuwa na haiba za kimalaya,ndio maana walidumu na wazee wetu ktk nyakati ngumu mno.

Ila siku hizi daah na wanaume siku hizi majukumu yametufanya tusiwe na time nadrama za kitoto za wanawake, kuna kipindi baada ya kuachwa nilikaa zaidi ya mwaa mmoja bila kutongoza na ndio ukawa mwaka wamapinduzi katika fani yangu.

Ukienda US ndoa zimepungua kwa zaidi ya 50% na ktk hizo ndoa zaidi 60% zinavunjika,30% zina migogoro ila 10% ndizo zinakuwa zina furaha na wanaume wa US hawaogopi kuoa bali wanaogopa talaka,kwani talaka inapukutisha wanaume kwa kugawana mali nusu kwa nusu,Child support nk.

US wanadai 70% ya talaka zinaombwa na wanawake ili tu wajivunie hela za wanaume wao.

Pesa imeharibu mind za wanawale walio wengi sana,mpaka ule utu hawana na hawana soni kwenye hela na ndio maana kuna wanaume wengine wenye hela anaweza kugonga mademu wafamilia moja,anaweza akagonga kikundi cha marafiki na wao huku wakijuana.

Ukurudi huku kwa mfeminist na baadhi ya wanawake wachache wasomi wanaoiga umagharibi, wengi wapo single na wakija kupata ufahamu wa nini thamani ya ndoa umri ushawatupa na hawana thamani ktk soko la waoaji,matokeo yake wanaangukia kwa Mario na ndio maana Mario siku hizi wapo wengi mno,kwani msingi wao ni kiuno na kupoga pamba.
 
Mtakufa Siku si zenuu walai kutafuta magonjwa ya rejareja tu!! Hebuu tukieni asee!

Utatulia Kwa Wanawake wanaojiuza?
Watoto wengi WA siku hizi hawajatulia hivyo mbinu wamayotumia Vijana WA siku hizi ni Sahihi Kabisa.

Alafu siku hizi ni rahisi Kufa ukiwa umetulia na Mwanamke mmoja kuliko ukiwa unanunua.
Ukinunua unakuwa makini Kwa sababu unajua upo kwenye hatari.

Kununua ni nafuu na hakuna Stress lakini kukaa na Mwanamke mmoja ni kutafuta Kufa mapema Kwa stress za kipuuzi
 
Watongozaji sasa wanamjukumu mazito juu ya familia zao!!

Binafsi kuliko nitongoze mpita njia nimpe 20k anipe gono/nuksi, Bora pesa hiyo ni bebee watoto wangu nyama kilo,mkate na blueband [emoji1][emoji1]

Mtasema mimi m'bahili, sina pesa, but I don't care [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️
 
Kuna mwanachuo mmoja kanipenda ki namna, ni binti mdogo kajiweka wazi sana kwangu kiasi cha kuona namcheleweshea kumuomba vituz, mimi na yeye hatuendani status, nahofu ni penzi la kweli au naandaliwa kupigwa mziga? Kwani haoni vijana wenzake huko chuoni au mitaani? Kama vijana wanawakaushia hawawatongozi ndio wakimbilie kwa wazee wakijua wazee wanawajali? Ni kweli hawa mabinti vijana hawawatongozi wakihofia kubebeshwa mizigo mizito ya mahitaji, wamekimbilia kwa wazee. Wazee wanajitwalia vibinti vibichi wanavihudumia kuliko wake zao. Mambo ya kimahusiano yamebadilika sana kutokana hali ya uchumi. Hakuna penzi la bure, ni gharama tupu
 
Kuna kasingle mother ma miaka 23 kalitia time afisini kwetu, nikakaribisha fresh tu kakampata mwenyeji wake,nikakanunulia soda na cake kakagonga fresh,kakaniachia contact kenyewe.
Juzi kamenipiga mzinga,wa ela kumi da nikakatumia,
Jana kakaniambia hakana vocha,nikakatumia faru mmoja,jioni kamenitumia cheti chale Cha chipitali kanaumwa u.t.i kanaomba Hela ya matunda,dawa zinamtia kichefuchefu.
Kameona nimezimiiiiiiiika.sasa namfungia viooo kapumbavu sana.
 
Back
Top Bottom