DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa .
Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi.
Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako.
Ukija kwenye UPANDE wa biashara ,biashara zinakuhitaji kuwasiliana na wateja kila Leo , kufanya follow up , za Mara kwa mara mambo yote haya introvert anaona yanampatia ugumu , Ila unabidi ufanye ili mambo yaende.
Being introvert is not easy .