DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Haaaaa. Ila naona kama Wa Tz Wengi, wanaona kua introvert in Jambo la maana sanaKwenye hizi character huwa binafsi sijifahamu nipo upande upi🤔
Sijajua mkuu, kumbe ndio wanaona hivyo?Haaaaa. Ila naona kama Wa Tz Wengi, wanaona kua introvert in Jambo la maana sana
Introvert ni mtu aliyetulia, asiyewezana na mijumuiko ya ujumla ujumla isiyo na malengo mahsusi.Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa .
Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi.
Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako.
Ukija kwenye UPANDE wa biashara ,biashara zinakuhitaji kuwasiliana na wateja kila Leo , kufanya follow up , za Mara kwa mara mambo yote haya introvert anaona yanampatia ugumu , Ila unabidi ufanye ili mambo yaende.
Being introvert is not easy .
SahihiIntrovert ni mtu aliyetulia, asiyewezana na mijumuiko ya ujumla ujumla isiyo na malengo mahsusi.
SIO mtu mkimya au mwenye haya asiyetaka kabisa mawasiliano na watu. AU mtu muoga wa kuonana na binadamu wengine (timid, shy person). Ni msikilizaji mzuri sana na mwenye tafakari ya ndani sana ya mambo yake; asiyependelea mijumuiko na mazungumzo reja reja (small talk).
LAKINI ikija kwenye masuala yake ya maana, kama biashara, kazi, taaluma, n.k. anaweza muwasilianaji mzuri sana kwa vile ni mtulivu, msikilizaji mzuri na wenye kutafakari vizuri kila jambo. Asipokuwa na jambo la maana linalomlazimu kuwasiliana na mtu, hurejea haraka kwenye utulivu wake wa ku-focus kwenye masuala yake ya ndani.
Hapa Bongo ukiwa introvert LAZIMA ufe mapema!Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa .
Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi.
Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako.
Ukija kwenye UPANDE wa biashara ,biashara zinakuhitaji kuwasiliana na wateja kila Leo , kufanya follow up , za Mara kwa mara mambo yote haya introvert anaona yanampatia ugumu , Ila unabidi ufanye ili mambo yaende.
Being introvert is not easy .
Umemaliza.Introvert ni mtu aliyetulia, asiyewezana na mijumuiko ya ujumla ujumla isiyo na malengo mahsusi.
SIO mtu mkimya au mwenye haya asiyetaka kabisa mawasiliano na watu. AU mtu muoga wa kuonana na binadamu wengine (timid, shy person). Ni msikilizaji mzuri sana na mwenye tafakari ya ndani sana ya mambo yake; asiyependelea mijumuiko na mazungumzo reja reja (small talk).
LAKINI ikija kwenye masuala yake ya maana, kama biashara, kazi, taaluma, n.k. anaweza muwasilianaji mzuri sana kwa vile ni mtulivu, msikilizaji mzuri na wenye kutafakari vizuri kila jambo. Asipokuwa na jambo la maana linalomlazimu kuwasiliana na mtu, hurejea haraka kwenye utulivu wake wa ku-focus kwenye masuala yake ya ndani.
Hizo ni haiba za kizungu...Kwenye hizi character huwa binafsi sijifahamu nipo upande upi🤔
Hakika Ila sasa wewe umeweka hadi bango 😁Hapa penyewe niko nime kaa naangalia nyumba na viwanja fulani.
Napenda kuji changanya na watu kupiga story, ila nikiwa nime tulia sipendi kuitwa itwa au kusemeshwa kila sekunde.
Naam chumba changu kina bango la do not disturb.
nikiwa ndani ya chumba changu, ni sawa na kuwa dunia yangu nyingine.Hakika Ila sasa wewe umeweka hadi bango 😁
100%Kwanza unakuwa kero kwa jamii. Jamii inahitaji mwingiliano. Nilikuwa na dogo family friend alikuja kufanya field akakaa kwangu.
Kwangu ilikuwa kero sana, muda wote yupo chumbani, akitoka ni kuchukua chakula na kurudi room. Amekaa miezi 3 hana rafiki kabisa miongoni mwa wanafamilia wala hakuna jambo alilojifunza kutoka kwangu kuhusu maisha. Kero zaidi akiwa na shida ndogo hata ya dawa ya meno anampigia baba yake halafu baba yake ananipigia mimi kuniambia nimsaidie.
Hakika mkuu tabu ipo kubwaaa!!Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa .