political games zinazochezwa na stateNipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Leo zile taarifa za kiintellijensia hazipo ?Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Siku lissu akimua Kufunguka ndio atatoa majibu kamili.Nakubaliana na huo msemo. Mbowe anapenda pesa.
Umechelewa sana ndugu yangu kufahamu hilo.nlKuna watu wanadai Mbowe ni CCM. Wengine wanasema Mbowe akiona hela analegea, Wengine wanadai Mbowe ni Mtu wa System tena cheo cha Juu sana.
Muda utazungumza....................
Ilikuaje kasoteshwa ndani gerezani kwa kesi ya ugaidi??Kuna watu wanadai Mbowe ni CCM. Wengine wanasema Mbowe akiona hela analegea, Wengine wanadai Mbowe ni Mtu wa System tena cheo cha Juu sana.
Muda utazungumza....................