Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu alizuiwa?Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Mtu wa system amkatalie Boss wake Magufuli vyeo vikuu?Kuna watu wanadai Mbowe ni CCM. Wengine wanasema Mbowe akiona hela analegea, Wengine wanadai Mbowe ni Mtu wa System tena cheo cha Juu sana.
Muda utazungumza....................
MnoMbowe ni shida Sana.
Kurufisha fomu na kusindikizwa sio maandamano sababu hayazuii magari kupita kwenye barabara za magariNipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Kabisa, sidhani kuna asiyeona kinachoendelea......yaliyokuwa sirini Sasa yapo wazi kabisa.Kweli kabisa. Mbowe amejionesha hadharani yeye ni mtu wa aina gani.
maandamano ni haki na uhuru wa kila mTanzania,Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.

Lissu tushajua ni mwongo, mfitini, mzandiki na mzushi.Siku lissu akimua Kufunguka ndio atatoa majibu kamili.
Kwa sasa tusubirie, Muda utazungumza......
I don't know they don't see thisHuu uchaguzi unachezeshwa pale Lumumba. Amkeni CDM
Kwani Lissu alikatazwa? Wanaumia nini hawa kima?maandamano ni haki na uhuru wa kila mTanzania,
maandamano ya vurugu, uharibifu na kuhatarisha amani na utulivu wa waTanzania hayakubaliki![]()
Lisu hakuzuiwa hana watu wa kumsindikizaLissu alizuiwa?