Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Akiorganize nyie wapenda ngono na mpira mtatoka? Waliorganize yale ya utekaji mlijitokeza?Lissu Hana hizi mbwembwe. Unashindwa kuorganize maandamno ya kupinga utekaji, ila maandamano ya kurejesha fomu unaweza kuorganize.
Mbowe asisikilize vichaa wa mitandaoni.... akivushe chama salama.
