Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

Kuna watu wanadai Mbowe ni CCM. Wengine wanasema Mbowe akiona hela analegea, Wengine wanadai Mbowe ni Mtu wa System tena cheo cha Juu sana.

Muda utazungumza....................
Mda huwa hauzungumzi wanao zungumza ni watu. Unless kama principal imebadilika sawa
 
Mapolisi wajiondoe kwenye Siasa wafanye kazi zao kwa mujibu wa KATIBA sio mujibu wa Ilani ya CCM.
 
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Kwani hujiulizi kwa Nini Polisi walizingila Ikungi yote wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa,lakini hawakufanya hivyo Hai kwa Mbowe.
 
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
POLICCM wanafurahia kuwaona CHADEMA mnavyovurugana, ni kama Mtu anayelipia King'amuzi aone Comedy 🤣🤣🤣
 
Lissu amejifunza Nini Leo,kama ana akili?
Ushauri WA Bure: Jiondoe kugombea,unaaibika
 
Kama Lissu alitegemea ataachiwa chama akifanye cha kiuanaharakati mwambieni kayatimba - mwamba ndani ya sanduku la kura.
 
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Kuna watu wanadai Mbowe ni CCM. Wengine wanasema Mbowe akiona hela analegea, Wengine wanadai Mbowe ni Mtu wa System tena cheo cha Juu sana.

Muda utazungumza....................
Zamani nilikuwa siamini madai hayo na nilimuona FAM kama mpnzani wa CCM kindakindaki. Matukio ya hivi karibuni yamenithimitishia vinginevyo na kunifanya nipoteze imani yangu kwa Chadema na vyama vya upinzani kwa ujumla.
 
Hapa wa kulaumiwa ni Nyerere kwa kutuletea mfumo wa vyama vingi bandia.
Mbowe ni agent wa CCM mwenye cheo cha juu sana pale Elite community.
 
Hapa wa kulaumiwa ni Nyerere kwa kutuletea mfumo wa vyama vingi bandia.
Mbowe ni agent wa CCM mwenye cheo cha juu sana pale Elite community.
 
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Saccos
 
Mbowe ni mwenzao
 
Mmemdanganya jamaa kachukua form, sasa hivi mmeanza kulia lia oohhh mbowe mbowe.
Sanduku la kura ni refa - hakuna kukimbia baada ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom