Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Ni hao vichaa wenzake ccm wanafanya watakavyo.
 
Jana hukushangaa TBC walivyorusha matangazo live, ushangae leo.!!
Muda ushawachambulia upi mchele, upi chuya. Kazi kwenu wapishi
 
Mbowe simamia kile unachokiamini otherwise kuna watu wanafurahia mkitifuana ndani ya chama
 
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Nilipo waambia mkanibishia mbowe anausika na mauaji hadi ndani ya chama chake mfano.kibao kauliwa kwa sababu ni.mwanajeshi mstaafu ...ccm imekusudia kuua wanajeshi wastaafu wote waliopo.upinzani wanaokataa kutumiwa na usalama wa taifa kwa siri ....
 
Haihitaji elimu ya chuo kutambua kuwa mbowe ni kibaraka na ndiomaana wakina mwashambwa wanampigia chapuo mbowe.

Ukweli nikwamba CCM hawamtaki LISSU na ndiomaana wanatamani mbowe ashinde.

Namalizia kwa kusema mbowe inatosha pumzika kwa maslahi mapana ya chama.

Mbowe must go!!!!
 
Zamani nilikuwa siamini madai hayo na nilimuona FAM kama mpnzani wa CCM kindakindaki. Matukio ya hivi karibuni yamenithimitishia vinginevyo na kunifanya nipoteze imani yangu kwa Chadema na vyama vya upinzani kwa ujumla.
Kaka yake FAM alikuwa mwanajeshi mwenye cheo cha juu mno. Tetesi zilizopo ni kuwa wakati kaka yake akiwa askari mwenye cheo cha juu, na yeye ni ntu wa system mwenye cheo cha juu sana.
 
Baada ya kutoka gerezani aliamua kuungana na watesi wetu, hafai tena kuendelea kuwa mwenyekiti pamoja na tamaa zake za fisi!
Kilichoniumiza zaidi ni wakati wakesi yake hiyo ya ugaidi. Tulitumia gharama zetu wenyewe kwa nauli na malazi toka mikoani kumtia moyo kila alipokuwa akiletwa Mahakamani. Leo anakwenda kuungana na Watesi wetu?? Walioamua kutupotezea fedha na muda wetu kwenye kesi ya kipuuzi.

Hatupingi yeye kugombea Uenyekiti bali tunachokataa kwa nguvu zote ni kwanini ametusaliti kwa kuungana na Watesi wetu wa miaka yote kwenye harakati zake??
 
Back
Top Bottom