Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Mbona hata ya Boniface Jacob waliruhusu? Tena ilikuwa siku ya kazi.
 
Umeona hao wanaomsindikiza Mbowe ni wangapi?. Mimi nimeona ni akina mama na wapiga Ngoma wanatembezwa kwenye jua Kali. Lissu angeita maandamano pangejaa zaidi ya mara kumi ya huyo dictator.
Sizitaki mbivu hizi hakuna aliyemzuia Lisu

Kaenda kuchukua fomu na kurudisha kimya kimywa utafikiri kafumaniwa au mchawi

Hakuna mtu alimzuia achukue na kurudisha fomu kwa mbwembwe

Lisu hana watu .Huu uchaguzi atapigwa chini vibaya hadi akome
 
N

Na Chadema ndio kwishney ??! Au ?!
 
Nani hamtaki? Si anagombea? Na kutakua na uchaguzi huru na haki kwanini mnalia kabla?
Huru na Haki kama ilivyo kwa Chaguzi zote zinavyokuwaga !
Halafu tena Wanasemaga wameibiwa kura !
Si ndivyo inavyokwenda kuwa na huu Uchaguzi ??!
😅😂
 
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Unakumbuka wakati Lisu anakamatwa na Polisi kule Iringa...?

Hawa polisi ni sehemu ya maigizo ya kipumbavu kupitia kodi zetu
 
tunaishi nao tu basi kwakuwa Mungu hapendi tubaguane ILA watu wa kaskazini hawaaminiki nikama petro kumkana YESU, wao ndio wazee wa mabangi, wao ndio wezi ukiwaajiri mda wote wanawaza kukuibia na kukudanganya wapate pesa, wao ndio waongo, HAWAWEZI KUSHINDA JARIBU LA PESA wazima watakwama...hata wakisema WAMEOKOKA WAANGARIENI KWA JICHO LA PEMBENI HAO..HAWASIKII KABISA...TENA HUU MWEZI WOTE WAMERUDI KUTAMBIKA majumbani kwao huko kaskazini..wakirudi mikoani wanajifanya wema ...manyang'au waleee. Sishangai kwa mbowe mzee wa fursa macho kwa pesa!!!
 
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Kwa hali ya sasa, Mbowe hata akiomba pesa toka Serikalini ili afanyie kampeni za kuutafuta huu uMwenyekiti wa CHADEMA, atapewa.
 
wakenya hawaamini hata Raial Odinga wanaamini wao kama wao, sasa nyie endeleeni kutegemea mtu, Kwa akili za wabongo hakuna kitu Lisu anaweza fanya, nyie ni wajasiri wa keybord
 
Back
Top Bottom