Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamkubali Mbowe tu huna ujanja😁Sijabadilika na siwezi kuhama CHADEMA milele. Ila Nkurunziza Mbowe nitampinga daima.
gentleaman relax tu,CCM chama Cha majambazi ndicho kinafadhiliwa na mabwenyenye.

relax kamanda,Ulitaka tuseme Samiah must stay?. Ulitaka tumsifie mwenyekiti wa CCM asiyejali ulinzi wa raia wake?. Samiah must go, even now.

Ok.Siwezi kumsuport mtu ambaye kwake ruzuki ndio mafanikio ansahau CCM imeshinda Kwa Asilimia 99%.
gentleaman relax tu,
there is no way kibaraka akaruhusiwa kufanya utopolo au makolo yoyote humu nchini kwenye chama chake au nje ya chama chake kwa niaba ya mabwenyenye ya magharibi,
hakuna namna atafanya,
na hataruhusiwa kufanya maandamano yoyote humu nchini,
ataruhusiwa maandamano ya kwenda kukwea pia na kurudi huko ng'ambo kwa mabwenyenye wanao mfadhili![]()
relax kamanda,
hakuna kitu mwanasiasa wa chama chochote cha siasa humu nchini, anaweza kufanya kitu kwa mihemko, makasiriko au ulevi akafanikiwa humu nchini,
hata huyo kibaraka wa kufadhiliwa na hao mabwenyenye hawezi kufurukuta hata kidogo hususani kwenye suala la amani ya waTanzania![]()
Maelekezo toka IkuluNipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
si hao wa magharibi wanao mfadhili kibaraka, awagawanye na kuwapasua chadema halafu tena eti aje, kuligawanya taifaMabwenyenye gani hao?. Taja mmoja tu. Wewe kila siku unafadhiliwa na nchi za magharibi mbona hujisemi?. Lissu kutibiwa ubelgiji imekuwa issue. Tena wenyewe ndio mlimpiga risasi.

Lipumba mtupuMbowe hana tofauti na kagame
kama Taifa,Kwa hivyo nyie akili yenu yote ipo Kwa Lissu, ila watu wasio julikana mpo kimya. Nyie mna akili kweli. Yani hamtaki Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA Kwa nguvu zote ila kupotea Kwa raia hasa wanachama wa CHADEMA kwenu sio issue. Aiseeeh! hiyo nayo mnaiita serikali.

Nani hamtaki? Si anagombea? Na kutakua na uchaguzi huru na haki kwanini mnalia kabla?Lissu ni mkweli ndio maana hamumtaki. Kamati Kuu karibia yote ipo Kwa Abdul. Mwongo na mfitini ni Mbowe mwenyewe.
kwa kiswahili inatamkwaje hii?Stupid idiot.
Wale watu waliotengeneza na banners kabisa sio mbwembwe?Lissu Hana hizo mbwembwe za maandamano ya kurudisha fomu. Na angeomba angefunika mara kumi ya huyo Nkurunziza wa CHADEMA
Ccm imejaa mapumbavuWaropokaji wa maneno haya utawakuta Milembe, wahi mapema ukaongeze nguvu ya uropokaji na matusi