Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Hiki ndicho nimemwambia ephen_ kule juu,.
Mtu kama una matatizo na una changamoto fulani na umeamua kuja Public kutafuta msaada just be specific na sema tu ukweli watu wajue waanzia wapi kukusaidia aachane na bla bla,.

Wasichokijua humu kuna watu wema wengi sana na wengine ukute ni majirani zako kabisa,.
Sijapata tu mda na ni wenyewe waliniambia nisiandike ila niliwahi kuleta uzi humu mnipe tenda za kuwatengenezea madirisha Aluminium,. Huwezi amini mpaka leo kuna wengine kazi zao bado hatujamaliza maana ni nyingi mno na wengine wanakuja wanauliza hivi kumbe we ndio Leejay wa Jf😂😂,.

Kwahiyo awe tu specific aseme shida nini watu watamsaidia🙋‍♀️
 
Usikate tamaa maisha yapo tu, usijitangulize kwenda usikokujua, find friends, socialize more, everything will be fine
 
Nawatakia wote wanaotafuta kazi wapate kazi kwa mujibu wa matakwa na uwezo wao.

Wanaotafuta upendo waupate wanavyotaka.

Kabla ya kufanya kitu chochote cha kujidhuru, tutafutane tuongee kwanza.
 
hujachelewa,
bado unayo fursa ya kufany vizuri na kuhuisha hali ya maisha na kipato chako kua kizuri na bora zaidi kuliko kukata tamaa na kuonyesha dalili za kuchukua uamuzi mbaya pengine wa kukuathiri, kukuumiza na kukudhuru wewe mwenyewe kwa sababu ambazo kabisa hazina mashiko...

Rudi nyumbani kijijini, iko fursa yenye kipato cha uhakika kwa urahisi sana hususani kwenye sekta ya kilimo na ufugaji biashara
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…