Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

Yap mkuu.. by the way its life.. hakuna formula ya mafanikio.. Kila mtu anajaribu perspective zake... kwa sababu maisha yenyewe haya tutakufa tutaiacha dunia.

Najaribu kuweka mazingira ya ku die in peace ndo mana nafukuzia passion.
 
Mkuu umepiga hatua haraka haraka Sana,Mungu amekunyanyua Sana Maana miaka kadhaa iliyopita Hali ilikua Tete Ila Sasa hivi Naona unachezea kwny Tsh. mid-seven hongera sana boss.View attachment 2285200View attachment 2285201
Mungu ni mwema mkuu na bado sijachoka kuzitafuta na kuzipiga hatua. Sijawahi kujisikia nimeshiba hata siku moja ndo maana hara mshahara nilionao sasa haunishtui kabisa maana naona nna uwezo wa kupata maradufu.

Ni kweli miaka 6 iliyopita nilikuwa broke kaboka mchizi. Ila now its a history.. Sitafuti tena hela ya kula kama nilivoandika huo uzi miaka 6 iliyopita..
 
Ni sawa mkuu... mimi fursa naiona kubwa sana wala siyo kwa perspective ubatodhania wewe...
 
Academician kwa GPA ipi?
 
Nashukuru na wewe unaitazama hii career kwa jicho pana
 
Tafuta pesa bro, bado hujachelewa huo mshahara wa m 4 utakuja kuupata siku moja ,haya maigizo ya jf achana nayo watu wanaolipwa m 4 na zaidi hawana mwandiko kama wako ww ni jobless kataa au kubali but unayonafasi ya kupambana
 
Ukitaka kuacha nistue au nilisishe bc
 
Tafuta pesa bro, bado hujachelewa huo mshahara wa m 4 utakuja kuupata siku moja ,haya maigizo ya jf achana nayo watu wanaolipwa m 4 na zaidi hawana mwandiko kama wako ww ni jobless kataa au kubali but unayonafasi ya kupambana
Sasa kaka milioni 4 ikipigwa makato inabaki kama 2.8 hivi ambayo ukipiga panga ya mkopo inabaki ka 1.9 kwa mwezi.. we hiyo ndo unaona kwamba ni hela ndefu sana?
 
Kua kwenye private sector hua kuna advantage endapo utakua ni mtu wa kutafuta kazi iliobora deile...unaanza na .e ofisi fulani unakula 1.5m unafanya kazi miaka 2 au 3 ukitola hapo unaelekea sehemu ingine possibility ya kudouble huo mshahara ni kubwa sana hiiukikaa hio sehemu ingine miaka 2 kufika kwenye 6m-8m ni jambo jepesi tatizo la watu wengi haswa wa private sector ni kutaka kukaa sehemu moja miaka mingi i.e unakaa ofisi moja miaka 6-7 unasubiria nini...
 
Hapo mkataba miaka mitano baada ya hapo anarudi benchi kusugua matako ajira yake sio ya kudumu

Hapo hana cha mafao ya kustaafu

Amekalia kuti kavu mda wowote wanakuondoa inategemea mabosi wameamkaje

Huna uhuru
Wewe hauna unachokijua unachotakiwa kua eligible ili uweze kulipwa pension ni kuchangia katika mfuko husika kwa miezi 180 ambayo ni miaka 15..pia pia kupata ajirs ya miaka 5 kwa mkataba sio issur unaweza ukakaa hapo miaka 3 ukaomba kazi ingine ukazidisha mara mbili mshahara tena kabla ya hapo unaweza ukatriple kwaio kwa miaka hio 5 au 6 mtubamaezidisha mshahara wake wa awali mara 4 huyo huwezi kumkuta utumishi wa umma ni rushwa na wizi tu ndo utakao kutoa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama wewe ni mtumishi wa umma ukitaka uumie roho angalia profile za uliosoma nao huko linkedin hapo wewe miaka 5 cheo kimoja wenzako wamebadili ofisi mara 3 mpunga mrefu wewe unapambana na mkurugenzi..akupitishie malipo yako ya uhamisho wa kutoka newala kwenda kasesya...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…