Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

Wazazi tupunguze jazba.

Nilipata nafasi ya kuutazama waraka unaoelekeza kufunguliwa kwa shule zote.

Unawataka walimu/shule kufidia muda ambao wanafunzi hawakuwapo.

Shule zimetakiwa kuongeza muda wa masomo kila siku kwa saa mbili.

Muhula wa kwanza uliokuwa uishe mwezi June mwanzoni, kwa sasa utakamilika mwezi August mwanzoni.

Muhula wa pili hautakuwa na Likizo na wanafunzi watasoma mpka 18 December.

Sasa hapo ni jitahada za kumtendea haki mwanafunzi. Shule pia zitendewe haki.

Ada yako itasaidia kuinua hali za walimu ambao kila siku wamekuwa wakisemwa wanafanya kazi katika mazingira duni. Wazazi kwa pamoja tutimize wajibu wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waalimu wanalipwa mshahara, majengo yanalipiwa kodi au yana gharama za matengenezo, walinzi na gharama nyingine zinakuwepo hata kama watoto wanajifunzia nyumbani. Fedha hizo zinalipwa kwa njia ya ada. Ni sawa ada ilipwe semesta zote.

If you think education is expensive consider ignorance
mzazi sio shareholder wa smile hizo gharama hazimuhusu yeye analipia mwanawe akiwa shule. Hayo magharama ya mumiliki shareholder sio mzazi. Usitafute kesi ukaburuzwa mahakamani
 
Nilisikia vipindi vitaongezwa kwa kila darasa, kwa namna moja ama nyingine nguvu ya ziada(kwa walimu na watumishi wengine) itatumika kwa hivyo wazazi na wenye shule mkae mjadiliane kuhusu ada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi tupunguze jazba.

Nilipata nafasi ya kuutazama waraka unaoelekeza kufunguliwa kwa shule zote.

Unawataka walimu/shule kufidia muda ambao wanafunzi hawakuwapo.

Shule zimetakiwa kuongeza muda wa masomo kila siku kwa saa mbili.

Muhula wa kwanza uliokuwa uishe mwezi June mwanzoni, kwa sasa utakamilika mwezi August mwanzoni.

Muhula wa pili hautakuwa na Likizo na wanafunzi watasoma mpka 18 December.

Sasa hapo ni jitahada za kumtendea haki mwanafunzi. Shule pia zitendewe haki.

Ada yako itasaidia kuinua hali za walimu ambao kila siku wamekuwa wakisemwa wanafanya kazi katika mazingira duni. Wazazi kwa pamoja tutimize wajibu wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hali bora za walimu ni wajibu wa shareholder sio mzazi tusibambikane gharama au hasara wakati faida mwenye shule ukipata huwa hugawani na wazazi!!!
 
Yani umeona hali za walimu tu,

Haujaona namna mtoto wako atakavyotendewa haki?

Wewe unapima muda wa mtoto kukaa shuleni au unapima kile alichotakiwa kukipata ndani ya mwaka mzima wa masomo???

Korona haijaletwa na shule.

Fikiri kwa pande mbili punguza ubinafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani umeona hali za walimu tu,

Haujaona namna mtoto wako atakavyotendewa haki?

Wewe unapima muda wa mtoto kukaa shuleni au unapima kile alichotakiwa kukipata ndani ya mwaka mzima wa masomo???

Korona haijaletwa na shule.

Fikiri kwa pande mbili punguza ubinafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane mahakamani
 
2.5m times 4yrs=10mil.....kwel kuna watu wana hela!!!kila la heri wandugu onene nadalagema gete ogonchala onegene goshule ja mahela gede ayo!
 
ihiiiiiii.....bhosambo gete obhonobho!!kwani ada si ilishalipwa sasa huu nao ni upgaji yaani 2.5mil stil wanataka tena?yaya gete bhabehi mmho dogoshila dogwiwejaga
 
no please mkataba haukuwa kufundishana mitandaoni!!! kuna chakula kinakuweko kwenye ada walikula mtaandaoni?kuna boarding cost walilala mtandaoni wa shule?nk
Wewe mzazi unatakiwa upatiwe msaada wa mawazo. Kama hauna pesa unatakiwa useme.

Suala la chakula wanafunzi wataendelea kula shuleni mpka December 18.

Hesabu rahisi.

Shule zilifungwa tarehe 17 March na Muhula wa kwanza ulitakiwa kukamilika tarehe 5 June. Hapo pana siku 80 lakini wanafunzi walitakiwa kipumzika kwa wiki mbili siku 14 itabidi zitolewe kwenye 80 na zinabaki siku 66 ambazo zimefidiwa kwa namna hii.[emoji116]

Shule zinafunguliwa tarehe 29 june badala ya tarehe 6 July kama muhula ulivyotaka. Hapo kuna siku 7 tayari.

Kisha kuna siku 14 ambazo wanafunzi walitakiwa kupumzika September, mapumziko hayo yamefutwa.

Shule zilitakiwa kufungwa tarehe 4 December lakini zimesogezwa mpka tarehe 18 December hapo kuna siku 14 zimeongezwa.

Mwisho kuna ongezeko la masaa mawili kila siku za masomo amabayo ukija kuyajumlisha toka tarehe 29 June mpka tarehe 18 December na kugawa kwa 24 nadhani utapata mwenyewe ni jumla ya siku ngapi?

Sasa chukua 14 + 7 + 14 + siku zipatikanazo kutokana na hesabu ya masaa.

Utaona ni namna gani siku 66 zimefidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mchezo,kusomesha ni kazi kubwa sana.Mungu awabariki sana Wazazi mnaotimiza wajibu huu mzito na muhimu kwa ustawi wa watoto wetu ambao ndio Taifa la leo na kesho.
 
Wewe mzazi unatakiwa upatiwe msaada wa mawazo. Kama hauna pesa unatakiwa useme.

Suala la chakula wanafunzi wataendelea kula shuleni mpka December 18.

Hesabu rahisi.

Shule zilifungwa tarehe 17 March na Muhula wa kwanza ulitakiwa kukamilika tarehe 5 June. Hapo pana siku 80 lakini wanafunzi walitakiwa kipumzika kwa wiki mbili siku 14 itabidi zitolewe kwenye 80 na zinabaki siku 66 ambazo zimefidiwa kwa namna hii.[emoji116]

Shule zinafunguliwa tarehe 29 june badala ya tarehe 6 July kama muhula ulivyotaka. Hapo kuna siku 7 tayari.

Kisha kuna siku 14 ambazo wanafunzi walitakiwa kupumzika September, mapumziko hayo yamefutwa.

Shule zilitakiwa kufungwa tarehe 4 December lakini zimesogezwa mpka tarehe 18 December hapo kuna siku 14 zimeongezwa.

Mwisho kuna ongezeko la masaa mawili kila siku za masomo amabayo ukija kuyajumlisha toka tarehe 29 June mpka tarehe 18 December na kugawa kwa 24 nadhani utapata mwenyewe ni jumla ya siku ngapi?

Sasa chukua 14 + 7 + 14 + siku zipatikanazo kutokana na hesabu ya masaa.

Utaona ni namna gani siku 66 zimefidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hapa YEHODAYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom