THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Mko powa
Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno kuliko hawa ambao wanajiona mali safi
ANGALIZO:KAMA UMEOA SINGLE MOTHER NA BADO ANA WASILIANA NA MZAZI MWENZIE NA WAPO KARIBU CHUKUA TAHADHARI, MUONYE SANA MKEO NA IKIBIDI SHIRIKISHA WAZAZI APEWE ONYO MAANA MDA WOWOTE ANAWEZA KUPASHA KIPORO NA MZAZI MWENZIE, HAWANYIMANAGI HAO
NB: Kuna wachache wenye akili timamu wanaojiheshimu wasioweza kuthubutu kupasha viporo
Zingatia neno "WACHACHE"