Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

Mko powa
Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno kuliko hawa ambao wanajiona mali safi

ANGALIZO:KAMA UMEOA SINGLE MOTHER NA BADO ANA WASILIANA NA MZAZI MWENZIE NA WAPO KARIBU CHUKUA TAHADHARI, MUONYE SANA MKEO NA IKIBIDI SHIRIKISHA WAZAZI APEWE ONYO MAANA MDA WOWOTE ANAWEZA KUPASHA KIPORO NA MZAZI MWENZIE, HAWANYIMANAGI HAO

NB: Kuna wachache wenye akili timamu wanaojiheshimu wasioweza kuthubutu kupasha viporo

Zingatia neno "WACHACHE"
Hapo neno WACHACHE tayari ni disqualification.

Wanasemaga WENGI WAPE...mkuu una mitego sana ww unataka watu waingie mkenge😆😆
 
Kama wana utii waoe wewe inatosha au hupendi wanawake wanao kutii wewe?
 
Back
Top Bottom