Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,684
- 21,117
Kila wakati tukisema viongozi wa yanga uwezo wao ni mdogo, watu wengi hamuelewi.
Mkutano uliofanyika jana ni General Assembly ya CAF. Ni mkutano unaowakutanisha viogozi wakuu wa mataifa wa mchezo wa mpira wa miguu.
Vilevile CAF au FIFA hualika wageni maalum kwenye mkitano huo. Siyo kila mtu anaalikwa. Ukitaka kila mmoja awepo kwenye mkutano itakuwa ni uswahili na ujinga wa hali ya juu.
Kwa kiwango cha Yanga hapa Africa ni sawa na Geita Gold, Singida Big Star, Tukuyu Fc nk. Haiwezekani kila mmoja aalikwe na asiyekuwa na umuhimu wowote.
CEO wa Simba Barbra amekuwa akishiriki katika mikutano mingi ya mchezo wa miguu. Hii ni kutokana na uwezo wake na elimu yake.
Sasa wenzetu huku yanga mnataka mualikwe kwa lipi!? Kipi cha maana yanga imefanya katika Africa hii.
Acheni uswahili na kujiendekeza kwenye mambo ya uganga wa kienyeji. Zama hizi ni za Sayansi na Technology, achaneni na akina mzee Mpili. Zama zao za kupiga makelele zimepitwa na wakati.
Mtaendelea kuongea propaganda za kiswahili huku ulimwengu wa mpira ukiwaacha mbali sana.
Badilikeni acheni kulia lia.