Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

Hivi wanakomalia au waliulizwa kwanini hawahudhuria na wakajibu hawajaalikwa mbona watu mnapenda kuwalisha watu maneno, kwa hiyo mlitaka wajibu nini kwa swali kama hilo
 
Mngekua na furaha msingekua mnakesha kuisakama Yanga,hadi nawahurumia wakuu
Kwa kweli haya ni makasiriko CEO kapigiwa simu kaulizwa kwanini hawajahudhuria mkutano kajibu hatujaalikwa wala sijaona mahali amelalamika wao wenyewe ndio wanaoyazusha
 
Kuidharau yanga ndio kukosa akili kwenyewe 🏃
Kama walishiriki kugombea uhuru wakashiriki vikao vya Umoja wa Afrika basi.

Kwani CAF walishiriki wapi mapambano ya uhuru mpaka waione Yanga kama turufu yao?
 
Inatia simanzi eti TFF wanatakiwa kutambua nafasi yao kama mabingwa. Sasa CAF na hako ka ubingwa kenu baada ya miaka 4 mfululizo na hamko kwny rmani ya Club bora Africa mnataka mualikwe kweli? Yani mmekua wa kulalamika lalamika tuu.
 
Mzee wa kualikwa. Unadhani watu wanaalikwa kama kwenye vigodoro!? CAF ni professional entity. Issue za utopolo peleka jangwani.
 
Back
Top Bottom