Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

Sasa waalikwe kufanya nini?

Wao kama nani?

Namungo, Azam, Singida Stars zote hazijaalikwa na hatujasikia malalamiko, kwanini Yanga tu ndio waonekane wa muhimu kuliko jundi hilo?
Nimetoka Twitter sasa hivi.Nimecheka Sana baada ya kuingia ACC ya CAF,mashabiki wanashusha comments za matusi humo kwann wao(yanga) hawapostiwi na CAF na Kwa nn page imekuwa km ya Simba maana kila siku inapostiwa Simba Tu wakati Africa kuna timu zaidi ya 100

majibizano na mashabiki wa Simba ndy yanachekesha zaidi
 
Hii hapa:-
 
Sasa waalikwe kufanya nini?

Wao kama nani?

Namungo, Azam, Singida Stars zote hazijaalikwa na hatujasikia malalamiko, kwanini Yanga tu ndio waonekane wa muhimu kuliko jundi hilo?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hatari sana yaani
 
Sasa waalikwe kufanya nini?

Wao kama nani?

Namungo, Azam, Singida Stars zote hazijaalikwa na hatujasikia malalamiko, kwanini Yanga tu ndio waonekane wa muhimu kuliko jundi hilo?
Tatizo wanajiona babkubwa wakati wapo nafasi ya 75 wamepitwa hata na Namungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…