Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

Umezidisha mkuu.Wachache wanaweza kuwa hata mia.Usahihi ni wawili tu wenye mbongo zifanyazo kazi vizuri na kwa timing njema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hao, aliwataja kwa sababu mmoja ni Baba yake mzazi, na mwingine alikuwa Rais! Hata nao, we wasikilize wakiiongelea YANGA YAO, utashangaa!
 
Na hao, aliwataja kwa sababu mmoja ni Baba yake mzazi, na mwingine alikuwa Rais! Hata nao, we wasikilize wakiiongelea YANGA YAO, utashangaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Haturuhusu wahuni kwenye vikao vyetu. Wahuni kwenu ni vijiweni tu mkigongeana vipisi vya bangi
 
Vilevile CAF au FIFA hualika wageni maalum kwenye mkitano huo. Siyo kila mtu anaalikwa. Ukitaka kila mmoja awepo kwenye mkutano itakuwa ni uswahili na ujinga wa hali ya juu.


Kwa kiwango cha Yanga hapa Africa ni sawa na Geita Gold, Singida Big Star, Tukuyu Fc nk. Haiwezekani kila mmoja aalikwe na asiyekuwa na umuhimu wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
timu kuendeshwa na wahuni ni shida sana.kweli na hili wanalalamika??
Wanajiona special Sana kuliko wengine.mna umuhimu gani CAF?
 
Barbara ana akili sana yule Dada anajua kujichanganya na kupata connection.sasa Hawa utopolo wanapenda uswahili uswahili Nani awaalike?
Tatizo la.yanga wanafikiri ni haki yao kila anamopita mnyama na wenyewe wapitemo by default. Wapambane kujenga Jina afrika zama hizi sio zama za historia ni zama za kuangalia record tuu.
 
Na hao, aliwataja kwa sababu mmoja ni Baba yake mzazi, na mwingine alikuwa Rais! Hata nao, we wasikilize wakiiongelea YANGA YAO, utashangaa!
Na Raisi mwenye aliongea siku alipomzungumzia swala la kumhusu Morrison.
Kuwa Yanga wako Baridiii saaaana.
Yaani kila mtu aliyetulia wa hukohuko ukimhoji atafunguka. Kama wanavyofunguka hata washabiki na kuiita Utopolo.
Kama mnabisha Mwulizeni Manara au Kocha wao Aime
 
Haahaaa
 

Attachments

  • a3bbe50b551343869d0bca86011f76ea.mp4
    3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…