minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 182
- 412
Kuidharau yanga ndio kukosa akili kwenyewe 🏃
Kwa kweli haya ni makasiriko CEO kapigiwa simu kaulizwa kwanini hawajahudhuria mkutano kajibu hatujaalikwa wala sijaona mahali amelalamika wao wenyewe ndio wanaoyazushaMngekua na furaha msingekua mnakesha kuisakama Yanga,hadi nawahurumia wakuu
Kama walishiriki kugombea uhuru wakashiriki vikao vya Umoja wa Afrika basi.Kuidharau yanga ndio kukosa akili kwenyewe 🏃
Mzee wa kualikwa. Unadhani watu wanaalikwa kama kwenye vigodoro!? CAF ni professional entity. Issue za utopolo peleka jangwani.Inatia simanzi eti TFF wanatakiwa kutambua nafasi yao kama mabingwa. Sasa CAF na hako ka ubingwa kenu baada ya miaka 4 mfululizo na hamko kwny rmani ya Club bora Africa mnataka mualikwe kweli? Yani mmekua wa kulalamika lalamika tuu.
Umenielewa au umekosea kuqoute?Mzee wa kualikwa. Unadhani watu wanaalikwa kama kwenye vigodoro!? CAF ni professional entity. Issue za utopolo peleka jangwani.
Wenye akili sio wachache..ni wawili tuHadji Alisema Wenye Akili Yanga Wachache