Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Eeh yani mbususu ina password😲😲😲😲 kweli jamaa katisha. No kugomgewa sio hizi za hawa warembo kila njemba mwenye hela anachovya
🤣🤣🤣Una maneno kweli
 
I know ila sasa hivi hatutapretend tena tumekoma🤣.
Tupeni nafasi ya mwisho muone how sweet and wanyenyekevu we can be please🙏🤣
Achana nao bhana,dudu zenyewe za kufanyia wanazo?
 
Roboti sawa na mkono au sabuni
Roboti hana kisirani ila utapata kisirani cha tanesco
Roboti hacheat sababu remote unatembea nayo
Acha remote uone kama hajapandiwa
Hofu ya kuchapiwa haitawaacha salama ,,,
 
Wanawake ombeni tu mchina atengeneze robot ya kiume mana kwa usalit mtaishi kupigw spoku na prise na saiv wameanza kutumia na nyundo hee shaur yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…