Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Mi nasema hivi,acha marobot yaje ili maandiko yatimie maana siku za mwisho, wanawake 7 watamfata mwanaume mmoja hata wamgaramie wao ilimradi tu waitwe kwa jina lake....
 
Wala usiumize kichwa mdogo wangu, wazungu wanatambua haki za binadamu yoyote yule.
Robots za kiume zitakuwepo.... Mambo ni bambam.
 
Robot ni sawa na kupiga punyeto tu ni muendelezo tu wa kazi za shetani Duniani
 
🪓🪓🪓🪓🪓
 
Kwa jinsi mlivyo nyie hayo maroboti mtayacheat sana aisee.. Labda uwe nayo kumi yenye ladha tofauti tofauti.
Imagine unaliacha robot lako nyumbani unakuja kucheat kwangu
Basi utakuwa una kitu special sana mpaka niache robot.
Alafu ujue robot anatoa tigo😜
 
Hivi lile unaweza lipiga dog style?.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…