Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025.
Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+
Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa familia kubwa.
Kwa 0 km unaipata kwa 64,000 USD kabla ya usafiri kuja Tanzania na kodi (TRA).
Hope zikija Tanzania ni RHD.