Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

China is overtaking the Jeps at tremorous speed

Kesi yangu mimi na Mchina ni moja, Sijawahi mwamini mie hapa kwenye reliability.😁
Toka aliponiuzia trekta ikatengeneza ufa kwenye engine block, na kuchanganya mafuta na maji, sinaga hamu nae.
Mchina anataka ununue kitu, ukitumie, kikulipe kwa muda mfupi ukanunue kingine.
 
Lakini bidhaa zote za kichina, zinatengenezwa na kuuzwa kwa bei ndogo ili zikiisha muda wake; zitupwe na kununuliwa nyingine. Ndiyo maana ukinunua leo bei fulani baada ya mwaka bei inakuwa imeshuka na ni modern zaidi kuvutia mtumiaji
Kwa maana hii sisi consumers wa used cars, kwa Mchina itatulamba.
 
Masoud tapeli sana. Kaenda China katafuta manufacturer kaweka logo yake anatuambia gari zake.
Ni Tanzania tu unaweza kukuta mjadala wa ''gari'' kama ile ya Kipanya. Nchi yetu ina uelewa wa kiwango cha chini mno. Ujinga mtupu. Mtu anaunganisha mabati na motor inayotumia umeme anasema ni gari! Kuhusu magari ya China 1. Kwenye sekta ya umeme wako juu sana. 2. Tutajua vizuri kuhusu uzuri wa magari yao baada ya miaka kama nane mpaka kumi. 3. Wanachoniudhi ni kujaribu kuiga mwonekano wa magari ya nchi za magharibi! eg mtu kuendesha gari ambayo mtu akiiona pap anadhani ni Rolls Royce halafu akiichunguza vizuri anakuta siyo, inafanya mwenye gari aonekane kama limbukeni au mshamba aliyebambikiwa. Yale yale ya kuona mtu kabeba Iphone pro max kumbe ni techno... au fake.
 
Mchina anajua sana katika kupendezesha na kupamba, lakini ukija kwenye reliability ni tatizo kubwa.
Guarantee ya gari ya mchina ni miaka 3 lakini wanunuzi na watumiaji wa magari ya mchina wanasema hata hiyo miaka 3 ni uwongo. Unanunua gari mpya kabisa ya mchina, lakini ndani ya miezi 6 tayari umeanza kuhangaika na mafundi.

Mjapani anakupa guarantee ya miaka 10, Mjerumani anakupa guarantee ya miaka 12, kuwa katika matumizi ya kawaida, hugusi injini.
Kuna rafiki yangu alinunua mtambo toka China kwa $2m, ukifanya kazi kwa miezi miwili, baada ya hapo ikabidi kuanza kuhangaika na mafundi. Toka wakati huo mpaka leo, ukienda mwezi mmoja bila matengenezo, umekaa sana.

China kama inataka kuyakaribia mataifa ya Magharibi katika ubora, inatakiwa kuwekeza sana katika reliability.
FIkiria Mchina anatengeneza ndege, lakini mashirika ya ndege ya China hayatumii ndege zilizotengenezwa China kwa safari ndefu za kimataifa. Zinatumika zaidi kama daladala, ndani ya nchi. Hata mchina mwenyewe hawezi kuwa na ujasiri wa kuitumia ndege ya China kwa safari ndefu!!

.As of May 2026, Chinese-made passenger aircraft are primarily used for domestic flights and short-haul regional routes within Asia, rather than long-haul international routes.
 
Kwa maana hii sisi consumers wa used cars, kwa Mchina itatulamba.
Kabisa! Nina mfano mdogo tu wa Hybrid inverter ambazo no name zinauzwa USD300, warrant miaka 3; lakini Wataalam wanasema bora kununua zenye majina kama Victron inverter ambayo ni USD 2,500 ya warrant ya miaka 10. Kwa mtizamo wetu sisi wakulungwa ni kuwa no name 4 ambazo zitakuwa miaka 12 ni USD 1,200 ambazo ni nusu ya bei ya Vitron. Maisha yanasonga. Nani mjanja
Screenshot 2026-05-09 at 10.37.36.png
 
Mchina anajua sana katika kupendezesha na kupamba, lakini ukija kwenye reliability ni tatizo kubwa.
Guarantee ya gari ya mchina ni miaka 3 lakini wanunuzi na watumiaji wa magari ya mchina wanasema hata hiyo miaka 3 ni uwongo. Unanunua gari mpya kabisa ya mchina, lakini ndani ya miezi 6 tayari umeanza kuhangaika na mafundi.

Mjapani anakupa guarantee ya miaka 10, Mjerumani anakupa guarantee ya miaka 12, kuwa katika matumizi ya kawaida, hugusi injini.
Kuna rafiki yangu alinunua mtambo toka China kwa $2m, ukifanya kazi kwa miezi miwili, baada ya hapo ikabidi kuanza kuhangaika na mafundi. Toka wakati huo mpaka leo, ukienda mwezi mmoja bila matengenezo, umekaa sana.

China kama inataka kuyakaribia mataifa ya Magharibi katika ubora, inatakiwa kuwekeza sana katika reliability.
FIkiria Mchina anatengeneza ndege, lakini mashirika ya ndege ya China hayatumii ndege zilizotengenezwa China kwa safari ndefu za kimataifa. Zinatumika zaidi kama daladala, ndani ya nchi. Hata mchina mwenyewe hawezi kuwa na ujasiri wa kuitumia ndege ya China kwa safari ndefu!!

.As of May 2026, Chinese-made passenger aircraft are primarily used for domestic flights and short-haul regional routes within Asia, rather than long-haul international routes.
Umedeal na Wachina kweli?
 
Xi Jinping
 
Tatizo Hamatan sijui hajui kuwa Mchina anauza magari soko la Magharibi, soko ambalo linazingatia ubora wa bidhaa

Na baadhi ya makampuni ya Kichina ya kutengeneza magari yamefungua viwanda Ulaya

Lakini pia makampuni ya Magharibi baadhi ya components huagiza kutoka China

Na bado kuna makampuni ya Ulaya ya kutengeneza magari kwa sasa wamiliki ni Wachina
 
Tatizo Hamatan sijui hajui kuwa Mchina anauza magari soko la Magharibi pia, soko ambalo linazingati ma ubora wa bidhaa..

Na baadhi ya makampuni ya Kichina ya kutengeneza magari yamefungua viwanda Ulaya

Lakini pia makampuni ya Magharibi baadhi ya components huagiza kutoka China

Na bado kuna makampuni ya Ulaya ya kutengeneza magari kwa sasa wamiliki ni Wachina
China inachukuliwa kirahisi sana. Hao wanaonekana kuzalisha bidhaa imara, wenyewe wanajionea jinsi upepo wa soko unavyowakataa.

Licha ya yote, mbona kampuni za usafirishaji hapa nchini bado wanaleta basi na malori kutoka China?. Na kwa nyongeza tu, TV za Sony zinakwenda kuzalishwa na Mchina.
 
Mchina haaminiki hata kidogo kama simu tu ambayo unafungua fullbox inazingua miezi 6 tuu wakati huo ukipata used ya Samsung au i4n unadunnda nayo ..sembuse magari sina imani hata kama 0km
 
Back
Top Bottom