Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

Ukikna bidhaa fulani ya Mchina inatamba Tanzania, usiamini kuwa kila mahali ni hivyo hivyo. Tanzania hatuna taasisi imara zinazoshughulika na ubora wa bidhaa.

Hapa Tanzania, nadhani karibia 90% ya mabasi yote ya abiria ya safari ndefu ni ya mchina, lakini usidhani hali ipo hivyo katika nchi. Hata hapo Afrika Kusini tu, mabasi mengi ya safari ndefu, siyo ya China.

Ulaya, mataifa kama Norway na Finland yanaendelea na uchunguzi kuhusiana na mabasi ya umeme ya kampuni ya Yutong kwamba yana switch ambazo wameziita ni killer switch, ambazo ni hatari kiusalama. USA inatarajia kupiga marufuku magari yote yanayotengenezwa China mwaka 2027 kwa sababu za kiusalama:

.Chinese-made electric buses are facing serious security scrutiny in Europe and Australia due to potential "kill switches" allowing remote deactivation by the manufacturer, posing significant infrastructure risks. Investigations have revealed that Yutong and other Chinese-manufactured buses could be remotely disabled.
Unajua kuwa China wanauza mabasi zaidi Ulaya kuliko Afrika?
 
Sijawahi kuona YAMAHA, Suzuki wala Honda inayopiga kazi kama Haojue au Sanlg huko vijijini kwenye barabara mbovu
Hizi pikipiki za Japan za miaka hii tunazo huku mitaani. Nyingi zimechoka balaa na ndiyo hizo zinafungwa injini za Kichina.
 
Ukikna bidhaa fulani ya Mchina inatamba Tanzania, usiamini kuwa kila mahali ni hivyo hivyo. Tanzania hatuna taasisi imara zinazoshughulika na ubora wa bidhaa.

Hapa Tanzania, nadhani karibia 90% ya mabasi yote ya abiria ya safari ndefu ni ya mchina, lakini usidhani hali ipo hivyo katika nchi. Hata hapo Afrika Kusini tu, mabasi mengi ya safari ndefu, siyo ya China.

Ulaya, mataifa kama Norway na Finland yanaendelea na uchunguzi kuhusiana na mabasi ya umeme ya kampuni ya Yutong kwamba yana switch ambazo wameziita ni killer switch, ambazo ni hatari kiusalama. USA inatarajia kupiga marufuku magari yote yanayotengenezwa China mwaka 2027 kwa sababu za kiusalama:

.Chinese-made electric buses are facing serious security scrutiny in Europe and Australia due to potential "kill switches" allowing remote deactivation by the manufacturer, posing significant infrastructure risks. Investigations have revealed that Yutong and other Chinese-manufactured buses could be remotely disabled.
Sababu uliyonukuu hapo chini kabisa haihusiani na suala la ubora wa mabasi hayo. Ni kama vita ya kisiasa anayopigwa Huawei.
 
Sijawahi kuona YAMAHA, Suzuki wala Honda inayopiga kazi kama Haojue au Sanlg huko vijijini kwenye barabara mbovu
Kwa matoleo yapi.. chini kabusa kuna vile vibata mbuzi, vile alitumia babu mpaka mjukuu anatumua vile tulibatiza jina tukaviita mchaga, kisha juu yake kuna kina DT na ndugu zake.
Hizo kazi zinazopiga hizo haojue zako, pikipiki miaka mi5 mingi inakuwa imekongoroka hatari ya mungu, pikipiki inachoka ukiimwagia mchuzi mbwa anaweba ibeba akijua mifupa. haitamaniki..
Tunataka ipige kazi na idumu.. kwenye ishu ya kudumu mchina ana changamoto kubwa kwenye product zake nyingi sana
 
Hapo Nguruwe Trump anatamani apasuke.
Trump hawezi kupasuka. Hayo magari Marekani hakuna!

Uzianeni nyinyi kwa nyinyi, soko la Marekani Mchina hajatoboa. Hayupo.

Halafu China mpaka leo mashine kubwa bado zinamshinda.

Nanukuu

Aero Engine Corporation of China (AECC). While they have achieved significant advancements in indigenous military engines like the WS-10 and WS-15 for fighter jets, they still rely on foreign technology for certain advanced applications and large commercial engines, facing challenges in reliability and manufacturing expertise.
 
Kwa matoleo yapi.. chini kabusa kuna vile vibata mbuzi, vile alitumia babu mpaka mjukuu anatumua vile tulibatiza jina tukaviita mchaga, kisha juu yake kuna kina DT na ndugu zake.
Hizo kazi zinazopiga hizo haojue zako, pikipiki miaka mi5 mingi inakuwa imekongoroka hatari ya mungu, pikipiki inachoka ukiimwagia mchuzi mbwa anaweba ibeba akijua mifupa. haitamaniki..
Tunataka ipige kazi na idumu.. kwenye ishu ya kudumu mchina ana changamoto kubwa kwenye product zake nyingi sana
Kwa hiyo tunakubaliana Wajapan hawana matoleo ya kazi kama ya Mchina?
 
Sina hakika katika hilo..
Ishu ni kuchoka mapema, haojue ukiipeleka shambani ipige kazi ngumu, miaka mi3 tu haitamaniki,
Mie nataka ipige kazi ngumu lakini idumu.

Ishu kubwa kwangu ni kwamba vitu vingi vya mchina HAVINA MAISHA MAREFU.
weka howo 0km hapa na scania kilomita laki 5, utapata jibu.

Kama mchina akitengeneza kitu cha muda mrefu itapendeza.
Hizo gari zake hata mimi nazitamani, je baada ya miaka 10, sisi wazee wa 2nd hand inakuwaje, fikiria bongo mtu ana ka ist tole la 2006 anainunua leo 2026 toka japan, sio mchezo ujue.
 
20260510_055556.jpg

Nataka nione Yamaha, Suzuki na Honda imekula mzigo huu wa Haojue​
 
Hiyo pikipiki gani?

Miaka mi3 tu, hizo zote zimekufa,
Swala liko palepale HAZIDUMU.
Sasa ili kitu kidumu si kuna sababu nyingi mkuu?
Inapaswa kuwe na mlinganyo, kwamba ufanye kazi zinazofanywa na wakina Sanlg na Haojue kwa kiwango kile kile na muda ule ule mfano miaka 5 kwa 5, ndipo tuje tutoe hukumu kama zipi zinadumu muda mrefu zaidi.
 
Hivi unakumbuka yale ma suzuki ag 125 sijui ni tf 125 walikuwa wanapewa viongozi wa kiserikali, ma bwana shamba etc..
ZIle ni moto..
Kinginr gharama za vyombo zilikuwa kubwa watu wanaogopa kuzitumikisha. Alipokuja mchina na bei ya milioni milioni watu wakadharau wakaona haina tabu, ndio wakaona zinafaa na spea zakd bei kitonga japo ukifunga ni miezi kadhaa tu
 
Back
Top Bottom