Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Yeah sahihiNilimaanisha wabongo wenzetu ndiyo hudai vya mchina havidumu, huku wenye nchi kubwa (USA & Ulaya) wanamjua vizuri mchina.
Yeah sahihiNilimaanisha wabongo wenzetu ndiyo hudai vya mchina havidumu, huku wenye nchi kubwa (USA & Ulaya) wanamjua vizuri mchina.
Upande wa logistics kwa ujumla hapo Tanzania anayetawala ni Mchina, trucks na buses ni MchinaUkitembelea viwanda vya vinywaji Tz nzima wanatumia Mjerumani
Printing Industry Ujerumani au Japan
Magari ya kuuzika na kukaa muda mrefu Mchina hapana
Angalia BYD Dolphin Surf.Hawa jamaa hawana gari za level ya raum,ist,rumion na spacio maana hivyo vyuma hapo bajeti yake sio masikhara na hapo bado kalkuleta ya TRA.
Wabongo wanaishi kwa mahaba, sio uhalisia wa mambo!Upande wa logistics kwa ujumla hapo Tanzania anayetawala ni Mchina, trucks na buses ni Mchina
Na hizo sijui za Mjerumani, Mjapan zikiharibika sehemu kubwa ya spare parts zinatoka China
Una hoja dhaifu sana
Umesema vyemaWabongo wanaishi kwa mahaba, sio uhalisia wa mambo!
Hawataki kukubali mambo yamebadilika !
Muda ndio msema kweli daima!
Bado bei yake sio rafiki kwa mtanganyikaAngalia BYD Dolphin Surf.
Tatizo beiIla mchina binafsi namkubali sasa hivi, kwenye vyombo vya moto hatuhitaji tena gari la kukaa miaka 20 na bado naliuza used likae miaka 30 tena. Tech imeingia kwenye magari. Yawe kama simu tu, yauzwe cheap, yakae mda mfupi. miaka mi5 mi5 tubadili.
Lile dude pale juu kwa picha lazima ufunge kiwanda tuMchina kwenye EV kaja kasi sana. South Africa kafanya mpaka Nissan wafunge plant na kuhamia Egypt. Kauza sana Jetour T1 na T2.
Ukienda uarabuni Jetour wanakimbiza kwa mauzo
Mamaeeee hata suzuki carry habebi huo mzigo
Hata mie nashangaa dunia ya leo ninunue gari nikae nalo miaka 15 mpaka 20 la nini wakati ndani ya iyo miaka zinatoka pamba nyepesi kali mno mpaka gari lako unaliona takatakaKwa taarifa tu ni kuwa; kwenye hizi gari za kutumia umeme China imeshika takriban 80% ya world market share.
na battery nzuri zaidi za magari ya kucharge duniani hutoka China....
Kwa hiyo miaka sio mingi sana China inaenda kudominate world market....ni suala la muda tu...
Lakini pia soko la karne hii linaenda na fasheni na innovation. Kwa hizi gari ndogo SUV & Saloon, Gari la kudumu miaka 15 litakuwa halina nafasi na ndio sababu hizi saloon car wazungu huziuza ndani ya miaka 5hivi....na kununua nyingine zilizopo kwenye fasheni
CHINA WAMESHASOMA HIYO GAP NA WANATEMBEA NAYO.....
😂😂😂😂Fala yule! Ukiambukizwa tetanus utafanyaje?
Mvumbuzi wetu alikuwa anahojiwa anasema yeye kuna siku hela zinakata ananunua disc mbili au anakopa,sasa huyu si atatuua na hizo gari zakeMuda si mrefu na sisi watizii tutatamba na za kwetu toka kwa Masoud Kipanya (KP motors)
Kizungumkuti kwenye kodiKuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025.
View attachment 3585717
Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+
View attachment 3585718
Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa familia kubwa.
View attachment 3585720
Kwa 0 km unaipata kwa 64,000 USD kabla ya usafiri kuja Tanzania na kodi (TRA). View attachment 3585723
Hope zikija Tanzania ni RHD.
Sasa ukute gari linauzwa M30 halafu kodi ni M35 itawezekana vipi boss?Tatizo bei
Watanzania tutaweza kumuua magari mapya?
Hadi leo tunanunua magari ya 2006 miaka 20 iliyopita ambayo ndiyo mpya huku
HaitawezekanaSasa ukute gari linauzwa M30 halafu kodi ni M35 itawezekana vipi boss?
🫵Ni Tanzania tu unaweza kukuta mjadala wa ''gari'' kama ile ya Kipanya. Nchi yetu ina uelewa wa kiwango cha chini mno. Ujinga mtupu. Mtu anaunganisha mabati na motor inayotumia umeme anasema ni gari! Kuhusu magari ya China 1. Kwenye sekta ya umeme wako juu sana. 2. Tutajua vizuri kuhusu uzuri wa magari yao baada ya miaka kama nane mpaka kumi. 3. Wanachoniudhi ni kujaribu kuiga mwonekano wa magari ya nchi za magharibi! eg mtu kuendesha gari ambayo mtu akiiona pap anadhani ni Rolls Royce halafu akiichunguza vizuri anakuta siyo, inafanya mwenye gari aonekane kama limbukeni au mshamba aliyebambikiwa. Yale yale ya kuona mtu kabeba Iphone pro max kumbe ni techno... au fake.
Hiyo haiwezi kuwa used,ikiwa used ujue imekufa jumlaMfano ikiwa used 4-5 years bei itakua poa sana. Wanyonge tutazicheki.
Hii T2 ishaingia bongo wanashowroom dsmT2 ukiiona tu ni kama inasema “Karibu Tanzania”
View attachment 3585727
Inafanana na Defender Yes. But Defender 1 unanunua T2 kama tatu au zaidi.