Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025.

Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+

Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa familia kubwa.

Kwa 0 km unaipata kwa 64,000 USD kabla ya usafiri kuja Tanzania na kodi (TRA).
Hope zikija Tanzania ni RHD.
 
Mchina kwenye EV kaja kasi sana. South Africa kafanya mpaka Nissan wafunge plant na kuhamia Egypt. Kauza sana Jetour T1 na T2.

Ukienda uarabuni Jetour wanakimbiza kwa mauzo
T2 ukiiona tu ni kama inasema “Karibu Tanzania”

Inafanana na Defender Yes. But Defender 1 unanunua T2 kama tatu au zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…