Naona wazazi wangu wamenichoka, ni muda sasa nami nianze kujitegemea

Comment bora kabisa...dogo anajiona kakua, anadanganywa na kadegree uchwara...aje kitaa sasa maji ataita mmaaa
 
Mara nyingi ukiaanza kukua utaanza kuona kama wazazi wanakunyanyasa.
Lakini kuna siku utaelewa kuwa wazazi walikuwa hawakunyanyasi na wala hawana nia mbaya na wewe. Bali wanakuweka katika mstari ulionyooka
 
Mimi nimekuelewa vizuri tu mkuu kuaga ni nitaaga vizuri bila shida. Ila huko niendako naimani Mungu atanipigania
 
Majani ya mparachichi? Hebu nitag huo uzi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mi wazazi wangu kitu kidogo tu eti ntakupa laana hasa Maza anapenda sana hii misemo[emoji848][emoji848]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi dogo unaujua mtaa au unahadithiwa?

Life litakuchapa mpaka ujinyee[emoji16][emoji16]
 
Mdogo wako yuko la pili?? Duuh bonge la gap[emoji848]
 
K
Kumbe una boom... Jiongeze kijana.. kukaa Kwa wazaz Kwa umri huo piah ni changamoto coz utaona Kama unaonewa... Yawezekana bi mkubwa anasema huyu mbna anaboom na anakula nyumbani na vitu vingne... Pia mzazi muda mwingne kwake unabaki mtoto bo matter umefikia wapi
 
Huyu dogo kanikumbusha kaka angu alivyotimiza miaka 19 akaanza kuwala wadada na mimba juu, hee akawa kiburi, Maza akimsemesha anawaka...Maza nae akawa anamla mboko za mgongo mbele za watu mbona alinyooka[emoji848]
 
Comment bora kabisa...dogo anajiona kakua, anadanganywa na kadegree uchwara...aje kitaa sasa maji ataita mmaaa
Nguvu ya boom hiyo, wala asijione kua kajitambua sana.
Akifanikiaa kusolve hilo na wazazi wake hapo ndo atakua matured na atafute chumba sasa.

Yaani unamkasirikia mama kabisaa, bora angekua mshua ila sio mama.
 
Yaani we upo chuo mdogo wako la pili?ndio maana unaona hutaki kugombezwa,yaani kifupi hujazoea maisha Hayo gap Kati yako na Dogo ni kubwa sana so inaonyesha uliishi Maisha ya kuendekezwa sana ulipokuwa mwenyewe Kabla Dogo hajazaliwa
Exactly [emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…