Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Watu tuna 35 na tumeoa na Tuna watoto hapahapa home.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdau huko juu kasema maza atakua hana maelewano mazuri na mshua so hasira anahamishia kwako hiyo ni truee kabisa,na kubwa kabisa mzee itakua above 50 bimkubwa below 40 hapo mzee hapigi show tu,nakumbuka nilipanga nyumba moja k/nyama mama mwenye nyumba alikua anawatukana watoto wake mitusi mizito anasimama uwanjani hadi majirani wanasikia alikua hana mume,baada ya muda akatokea mzee mmoja anampiga mashine kelele zote zikaisha anaongea kwa upole tu so hapo mchawi mshua mwambie ampige mashine maza atatulia tu,tafuta lugha ya kuongea na mshua aelewe hilo jukumu.Mkuu me nimeshamvumilia sana bimkubwa na nimehmshajitahidi kumweka sawa (yaani asinichukie) ila kila nikijaribu kufanya kazi za hapa home maza bado anafoka nimeshajitahidi kuvumilia maisha ya hapa nyumbani ila sina amani wala furaha.
Hali hii inanifanya mimi nisishinde hapa nyumbani nakaa zangu chuoni mpaka saa 4 usiku na weekend naamua kusepa home nikawacheki wana ilimradi niyakwepe maneno ya bimkubwa mimi kumvumilia nimeshindwa mkuu mwisho wa mwezi huu nimeshapanga nasepa home potelea mbali changamoto za mtaani
Mkuu hayomaisha kwangu mimi naona kawaida mkuu maana nilishawahi kushindia mkate na maji tena nilishawahi kutembea kwa mguu kutoka home mpaka chuo wiki nzima kipindi hicho boom lilichelewa kutoka nikawa nashida maji na mkate chuoni so kwangu maisha kama mimi nimeshayazoe hivo usinitishie maishaNimecheka sana unaposema eti umemvumilia sana. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mpaka umri huo, nani kamvumilia mwenzie sana?. Narudia kukwambia mdogo wangu, nyumbani hutakiwi kuondoka kwa hasira. Na siku utakayoamua kuondoka, make sure umejipanga, wahenga waliposema "Ukitaka kuruka, Agana na nyonga" walikuwa na maana yao kubwa sana.
At 21, bado sana mdogo wangu. Tena kibongo bongo ndio kabisaaa. Tumia hizo hasira ulizo nazo kujipanga namna ya kuondoka hapo home. Kama Unaona huwezi kuendelea kukaa hapo mpaka utakapo graduate, basi atleast jiwekee deadline, then anza mipango ili kumeet hiyo deadline.
Unga kilo 2200, nyumba za kupanga hata huwe na taa moja tu ndani malipo ni 10000/=. Usije ukasoma story za watu waliosurvive kitaa zikakupa mori, mwaka mmoja una siku 365, na siku moja ina masaa 24. Haya masaa 24 ni mengi sana, hasa ukiyapitisha bila kupata proper meals.
Humu JF Ushawahi kusoma story ya yule jamaa aliyeondoka kwao kwa jeuri ya boom? Matokeo yake mambo yalikuwa tight ikafikia hatua giza likiingia anapanda juu ya mparachichi anakula Yale majani, then anaenda kushushia na maji bombani?
Fikiria upya mkuu. Then jipange
Kabisa maisha sio rahisi hivoYaani Dogo angejua mtaani Sio poa,angetulia.,labda Kwa vile wanasemaga wenzetu ni wanaume
Sema mkuu hiko chumba si kipo karibu na bar . Kwangu mimi sipendezwi na makelele ya bar nataka chumba kilichotulia kwajili ya kusomeaPole Sana kak haya maisha nimewai ishi unagombezwa bila sababu yoyote ile
Kuna chumba kipo pale kibo nilikuwa nakaaga wakt nasoma hapo chuo
Hvyo ukifika kibo uliziaa bar ya daga daga kisha nitexr pm nikupe maelekezo
Ujingwa sna kunyanyaswa bila sababu za msingi sijapenda hilo
Ndio unaishia ila ukijiwekea malengo utaishi nao hasa ukiutumia kuwekezaUtajiri wa boom huwa unaisha[emoji124][emoji124]
Nyumbani kwetu hakuna House girlMtie mimba House girl
Maisha ni mahumu abaki home ajioange litakua boom lina mpa wenge akimaliza chuo atajua hajui😂😂😂anasema eti 'mungu atanipambania' anachukulia pesa ni rahisi sana 😂
Unaweza kumwambia asikufokee ila ikipita wiki mbili kelele zinaanza tenaMwambie aache kukufokea bhana mfate akiwa amerelax umwambie kwanini unanifokea sana mwambie yoote yaliyopo moyoni
kwanza boom watu wanalisifia sana, laki kadhaa ni hela ndogo sana kimaisha halisi, boom hela ya kawaida sanaMaisha ni mahumu abaki home ajioange litakua boom lina mpa wenge akimaliza chuo atajua hajui😂😂😂
Avumilie tu kila nyumba mambo ndo hayo hayo tena upate mama kakulia uswahilini utajua haujui😂😂😂😂
We mtoto wa kiume nashangaa hata jambo dogo kama hili umeshindwa kuhandle, fanya majukumu yako kaa nae mbali.Me namjua maza A to Z huwa akitoka kugombana na marafiki zake huko au kwenye shughuli zake akirudi nyumbani hasira zote ananiamishia kwangu sasa mimi najiuliza nimemkosea nini maana kosa dogo ataongea hapo mpaka majirani wanasikia nami nimemchoka
Dah mimi ndio mkubwa na nina mdogo wangu moja nae ni wakiume ila dogo yupo la pili so me ndio nakuwa house girl na house boy home maana maza washaniifanya niwe hivi ukiwaambia ndugu unaoneka una jeuri kwa wazazi mara umeanza zarau. Basi naamua kukaa nayo moyoniAkizidi sana tafuta mama yako mkubwa au ndugu yako mkubwa mueleze aongee na mama ako
Usihame home kama hao hao ndo wakukulipia pango
Mwisho wa mwezi huu mkuu nasepa kuna hela naisubiria boom la pili nijumlishe na akiba yangu nichomoke homePole Sana mkuu sepa hapo faster
Ni boom hilo linamtia wenge, kwanini asihame kabla.Maisha ni mahumu abaki home ajioange litakua boom lina mpa wenge akimaliza chuo atajua hajui😂😂😂
Avumilie tu kila nyumba mambo ndo hayo hayo tena upate mama kakulia uswahilini utajua haujui😂😂😂😂
Acha tuone itavyokuwapesa ni ngumu mno, jaribu kuitafuta utaona ilivyo...
Kabisa mkuu nami ndio hivo nafanyiwa revengeExactly, wazazi wa aina hii wengi huwa wanafanya revenge kwa watoto wao japo siyo wote.
Sidhani kama wanakusingizia. Una mawazo ya kitoto, jaribu kulingana na miaka 21. Muda si mrefu Utakuwa na mji wako,kama hujui hata kumwaga maji kusukuma kinyesi, wewe ni mtu wa aina gani?Habarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa mtu wakunifokea fokea hadi majirani huwa wanasikia jinsi ninavyofokewa. Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Okay siku na kipingamizi kwasababu hawa ni wazazi wangu hivo ni wajibu kuwasikiliza na sio kwamba siku za nyuma nilikuwa sifanyikazi? Hapana ni kutokana na majukumu ya masomo huku chuoni yananibana sana hivo nakuwa mtu sio wakushinda nyumbani maana mda wote na huku chuoni huwa na baki mpaka saa 3 au nne usiku ndio narudi home. Nafanya hivi ili nikimbie majukumu ya nyumbani ila baadae nahisi wazazi wangu walinishukizia.
Anyway sasa kila nikifanya kazi za hapa nyumba bado maneno yanakuwa mengi mara uwambie urudie kuosha vyombo mara mbili wakati apo vyombo ushaosha na vinan'gaa bila shida , ukitoka hapo mara uwambiwe chooni unaachafua mara hausafishi mara unaingiza mchanga mara uwambiwe uliacha mavi leo asubuhi yaani maneno yanakuwa mengi halafu bimkubwa anaongea kwasauti kubwa hadi majirani wanasikia
Mimi hali hii sipendezwi nayo, naona wazazi wangu kama wameanza kunichoka, hapa nafanya mpango mwisho wa mwezi huu nichomoke hapa home najua mwanzo wa kujitegemea huwa mgumu ila potelea mbali siwezi kuendelea kukaa home huku nikidharirishwa na maneno ya bimkubwa.
Anyway natafuta chumba bei iwe 50k maeneo kuanzia ubungo kibo, kona mpaka kimara korogwe. Kama unaona au unasikia kuna chumba kinapangishwa maeneo hayo anipange sasa. Wakuu #natanguliza shukuran
Inaweza Kuwa mzazi anashindwa kukuelewa ama ulishajiona matawi,na pia ni namna aliyoiona mzazi akubane ili aweze hakikisha mabadiliko ya tabia yako ama yapo yanayokuzuzua.Pia kwa jinsi ulivyo react na mwelekeo wa nia ya maamuzi yako.Inaonyesha inashinda ambayo imepelekea hali hiyo kwa mzazi 🤔Habarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa mtu wakunifokea fokea hadi majirani huwa wanasikia jinsi ninavyofokewa. Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Okay siku na kipingamizi kwasababu hawa ni wazazi wangu hivo ni wajibu kuwasikiliza na sio kwamba siku za nyuma nilikuwa sifanyikazi? Hapana ni kutokana na majukumu ya masomo huku chuoni yananibana sana hivo nakuwa mtu sio wakushinda nyumbani maana mda wote na huku chuoni huwa na baki mpaka saa 3 au nne usiku ndio narudi home. Nafanya hivi ili nikimbie majukumu ya nyumbani ila baadae nahisi wazazi wangu walinishukizia.
Anyway sasa kila nikifanya kazi za hapa nyumba bado maneno yanakuwa mengi mara uwambie urudie kuosha vyombo mara mbili wakati apo vyombo ushaosha na vinan'gaa bila shida , ukitoka hapo mara uwambiwe chooni unaachafua mara hausafishi mara unaingiza mchanga mara uwambiwe uliacha mavi leo asubuhi yaani maneno yanakuwa mengi halafu bimkubwa anaongea kwasauti kubwa hadi majirani wanasikia
Mimi hali hii sipendezwi nayo, naona wazazi wangu kama wameanza kunichoka, hapa nafanya mpango mwisho wa mwezi huu nichomoke hapa home najua mwanzo wa kujitegemea huwa mgumu ila potelea mbali siwezi kuendelea kukaa home huku nikidharirishwa na maneno ya bimkubwa.
Anyway natafuta chumba bei iwe 50k maeneo kuanzia ubungo kibo, kona mpaka kimara korogwe. Kama unaona au unasikia kuna chumba kinapangishwa maeneo hayo anipange sasa. Wakuu #natanguliza shukuran
Uondoke kwa amani si kwa kiburi.Ndio naanza kujiongeza hivo hapa mwisho wa mwezi kitaeleweka tu lazima niondoke home