Naona wazazi wangu wamenichoka, ni muda sasa nami nianze kujitegemea

Nikawaombe msamaha kwani nimewakosea ni mimi?? Kama kazi walizoniambia nizifanye nafanya ila bado maneno yanakuwa mengi nafokewa vyombo sivioshi vizuri mara deki sipigi vizuri wakati apo vyombo vinan'gaa na ukicheki sakafu liko safi asa apo kosa langu liko wapi??
 
Hutaki KUISHI maisha yasiyo kuwa na CHANGAMOTO,ukitoka hapo kwa WAZAZI wako sasa hivi basi tambua WALEZI wako watakuwa ni WALIMWENGU ihifadhi hii sawa eeeenh

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Hutaki KUISHI maisha yasiyo kuwa na CHANGAMOTO,ukitoka hapo kwa WAZAZI wako sasa hivi basi tambua WALEZI wako watakuwa ni WALIMWENGU ihifadhi hii sawa eeeenh

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
Acha kunitisha nimesha ishi sana mtaani na watu wenye tabia tofauti tofauti ilo la walimwengu kwangu halinipi shida kikubwa niwe huru na nikae mbali na meneno ya bimkubwa maana me kuishi naye sasa simuwezi
 
Ila kweli kuna wakati wazazi wanazingua, ayo Mambo yashanikuta nilichokifanya sikuhama home Bali nilitafuta kazi ili nijikeep busy na heshima ikaludi.
Mkuu hata mimi nilijaribu kuwa bize kidogo na sikutaka kushinda home nikaamua kukaa chuo mpaka saa 4 usiku ila kila nikirudi maneno hayaishi nasemwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…