Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona kama haupo Sawa. Ngoja ukue kiakili ndipo utajua kama wazazi walikua sahihi au lah.Acha tu hapa naishi na wazazi wangu tena wakunizaa ila naona manyanyaso yamekuwa mengi hapa nyumbani ngoja nichomoke mwisho wa mwezi huu
Kaka gani nimekuzidi mwaka 1 na urefu juu 😁watakumaliza 😂 nisikilize kaka yako....
Mkuu nakushauri usitoke hapo home. Ni heri ukavumilia hayo unayoita manyanyaso, kuliko kukutana na mateso ya kuingia kitaa kurupu kurupu bila mipango.Habarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa mtu wakunifokea fokea hadi majirani huwa wanasikia jinsi ninavyofokewa. Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Okay siku na kipingamizi kwasababu hawa ni wazazi wangu hivo ni wajibu kuwasikiliza na sio kwamba siku za nyuma nilikuwa sifanyikazi? Hapana ni kutokana na majukumu ya masomo huku chuoni yananibana sana hivo nakuwa mtu sio wakushinda nyumbani maana mda wote na huku chuoni huwa na baki mpaka saa 3 au nne usiku ndio narudi home. Nafanya hivi ili nikimbie majukumu ya nyumbani ila baadae nahisi wazazi wangu walinishukizia.
Anyway sasa kila nikifanya kazi za hapa nyumba bado maneno yanakuwa mengi mara uwambie urudie kuosha vyombo mara mbili wakati apo vyombo ushaosha na vinan'gaa bila shida , ukitoka hapo mara uwambiwe chooni unaachafua mara hausafishi mara unaingiza mchanga mara uwambiwe uliacha mavi leo asubuhi yaani maneno yanakuwa mengi halafu bimkubwa anaongea kwasauti kubwa hadi majirani wanasikia
Mimi hali hii sipendezwi nayo, naona wazazi wangu kama wameanza kunichoka, hapa nafanya mpango mwisho wa mwezi huu nichomoke hapa home najua mwanzo wa kujitegemea huwa mgumu ila potelea mbali siwezi kuendelea kukaa home huku nikidharirishwa na maneno ya bimkubwa.
Anyway natafuta chumba bei iwe 50k maeneo kuanzia ubungo kibo, kona mpaka kimara korogwe. Kama unaona au unasikia kuna chumba kinapangishwa maeneo hayo anipange sasa. Wakuu #natanguliza shukuran
Ushauri murua sana kutoka kwa apostle asante mkuu maana na mm nimo humo aseee 😁😁😁Mkuu nakushauri usitoke hapo home. Ni heri ukavumilia hayo unayoita manyanyaso, kuliko kukutana na mateso ya kuingia kitaa kurupu kurupu bila mipango.
Bado uko chuo, matumizi na mahitaji yako ni mengi sana. Nakushauri endelea kujipanga mdogo mdogo, make sure siku unayo graduate chuoni, tayari uwe na ramani kamili ya kuingia mtaani.
Yani kwa ufupi, uwe na double graduations. Yani unagraduate chuo, at the same time una graduate nyumbani.
Ila ukisema utumie hasira na kuondoka home sasa hivi bila plan, trust me, chance ya kupoteana ni kubwa mno, na hivi double kick na smart gin ni 2000? Sijui.
[emoji38][emoji38] acha tu ndugu Imagine unaambiwa unaacha mavi chooni tena kwa sauti kubwa utajifeel vipi hapo majirani washasikia yaani ni aibu tu maza ananitia mtaanjPole sana kaka mimi nilishawahi kuambiwa namaliza chakula sababu mara nyingi mimi nakuwa wa mwisho kula kwahiyo Huwa najisevia wenyewe[emoji1787][emoji1787]
Kivipi mkuu? unajua wazazi sametimes kuna maneno flani hivi akiyaongea hata mtu wapembeni atajua huyu anamnyanyasa mwanaeMkuu naona kama haupo Sawa. Ngoja ukue kiakili ndipo utajua kama wazazi walikua sahihi au lah.
Angekua wakike ningesema ngoja aoelewe ataoata majibu ya usahihi wa wazazi
Shida ninayo Iona kwako unawategemea kwa Kila kitu hivyo huna budi kwenda na matakwa yao, ila kwangu mim ilikua ni kulala tu kula na mahitaj mengine yote sikuwahi omba kwao.Mkuu hata mimi nilijaribu kuwa bize kidogo na sikutaka kushinda home nikaamua kukaa chuo mpaka saa 4 usiku ila kila nikirudi maneno hayaishi nasemwa sana
Mdogo wangu, fanya vyote ila usije ondoka home kwa jazba, maana kuna siku utahitaji kurudi hapo 😅Ushauri murua sana kutoka kwa apostle asante mkuu maana na mm nimo humo aseee 😁😁😁
Mkuu me nimeshamvumilia sana bimkubwa na nimehmshajitahidi kumweka sawa (yaani asinichukie) ila kila nikijaribu kufanya kazi za hapa home maza bado anafoka nimeshajitahidi kuvumilia maisha ya hapa nyumbani ila sina amani wala furaha.Mkuu nakushauri usitoke hapo home. Ni heri ukavumilia hayo unayoita manyanyaso, kuliko kukutana na mateso ya kuingia kitaa kurupu kurupu bila mipango.
Bado uko chuo, matumizi na mahitaji yako ni mengi sana. Nakushauri endelea kujipanga mdogo mdogo, make sure siku unayo graduate chuoni, tayari uwe na ramani kamili ya kuingia mtaani.
Yani kwa ufupi, uwe na double graduations. Yani unagraduate chuo, at the same time una graduate nyumbani.
Ila ukisema utumie hasira na kuondoka home sasa hivi bila plan, trust me, chance ya kupoteana ni kubwa mno, na hivi double kick na smart gin ni 2000? Sijui.
Haya kapange ili wapangaji wenzako wakakufurahie uvivu wako uliokukimbiza Kwa wazazi wako. Na siku ukirudi tena Kwa wazazi tunakupeleka Polisi.Kivipi mkuu? unajua wazazi sametimes kuna maneno flani hivi akiyaongea hata mtu wapembeni atajua huyu anamnyanyasa mwanae
😂😂😂😆😆😆 Kwa kweli aseeMdogo wangu, fanya vyote ila usije ondoka home kwa jazba, maana kuna siku utahitaji kurudi hapo 😅
Sasa mkuu kama kula home nakula usiku tu nikirudi na kama kuwategemea wazazi basi ni sehemu ya kulala tu ila mengi najitahidi kujihudumia mwenyewe ila manyanyaso bado hayaishi.Shida ninayo Iona kwako unawategemea kwa Kila kitu hivyo huna budi kwenda na matakwa yao, ila kwangu mim ilikua ni kulala tu kula na mahitaj mengine yote sikuwahi omba kwao.
Kwani mleta mada unamjua mkuuuHaya kapange ili wapangaji wenzako wakakufurahie uvivu wako uliokukimbiza Kwa wazazi wako. Na siku ukirudi tena Kwa wazazi tunakupeleka Polisi.
Nakumbuka hili ni jaribio lako la pili maana la kwanza ulibandika kule Twitter nikakufukuza
YessKwani mleta mada unamjua mkuuu
Jesuuu asee kumbe kajivuruga humu asee noma sanaYess
Akili za kimasikini za wazazi wa KitanzaniaHabarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa mtu wakunifokea fokea hadi majirani huwa wanasikia jinsi ninavyofokewa. Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Okay siku na kipingamizi kwasababu hawa ni wazazi wangu hivo ni wajibu kuwasikiliza na sio kwamba siku za nyuma nilikuwa sifanyikazi? Hapana ni kutokana na majukumu ya masomo huku chuoni yananibana sana hivo nakuwa mtu sio wakushinda nyumbani maana mda wote na huku chuoni huwa na baki mpaka saa 3 au nne usiku ndio narudi home. Nafanya hivi ili nikimbie majukumu ya nyumbani ila baadae nahisi wazazi wangu walinishukizia.
Anyway sasa kila nikifanya kazi za hapa nyumba bado maneno yanakuwa mengi mara uwambie urudie kuosha vyombo mara mbili wakati apo vyombo ushaosha na vinan'gaa bila shida , ukitoka hapo mara uwambiwe chooni unaachafua mara hausafishi mara unaingiza mchanga mara uwambiwe uliacha mavi leo asubuhi yaani maneno yanakuwa mengi halafu bimkubwa anaongea kwasauti kubwa hadi majirani wanasikia
Mimi hali hii sipendezwi nayo, naona wazazi wangu kama wameanza kunichoka, hapa nafanya mpango mwisho wa mwezi huu nichomoke hapa home najua mwanzo wa kujitegemea huwa mgumu ila potelea mbali siwezi kuendelea kukaa home huku nikidharirishwa na maneno ya bimkubwa.
Anyway natafuta chumba bei iwe 50k maeneo kuanzia ubungo kibo, kona mpaka kimara korogwe. Kama unaona au unasikia kuna chumba kinapangishwa maeneo hayo anipange sasa. Wakuu #natanguliza shukuran
Bado mkuu ndio naanza kuweka mambo sawa mwisho wa mwezi huu naanza maisha ya ghettoUlianzaje kukaa gheto?