Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Duh Pole sana broo, hizi ndoa now days zimekua na changamoto nyingi sana. ila kama kikao kitakushaur uendelee kumsikilizia huenda akajirudi usikate tamaa maxima maana watot wetu hapo ndo watapata shda, usisahau kutuletea kamrejesho
 
Shida mwanamke msaliti,hivi unajua maumivu ya kusalitiwa kweli,Bora kuachana tu
 
Aisee pole sana mkuu brake up inaumiza hasa ya mda reasonable kama hii 15yrs but ndio hvo inapofikia muda wake no option ni kufanya maamuzi ya ujasiri tu.
 
Mimi nimekutangulia mwaka kwenye maamuzi!!
Anyway one year after breakup sio nzuri wala tamu kwenu wote hata huyo kibwengo anaebweka kuwa muachane.
Wangu alifikia hatua ya kusema kuwa alirogwa ili atoke kwenye ndoa yake..
Akadai pia tangu atoke kwenye ndoa she hasn't been the same!! Wakati huo nilikuwa bado namuhitaji lakini roho iligoma kabisa kurudi kuishi pamoja..
Alidai hisia zimekata hata akienda na mwanaume hasikii chochote kabisa nikajua huu ni utoto iweje unihubirie porojo za hivi
Japo ilinitachi sana kusikia vile kuwa amekuwa akilala na wanaume tofauti tofauti ili aishi but I had nothing to do..
Its better to live with unknown bitch than living with someone who you real know that she was yours but still went and fucked around while alikuwa kwenye himaya yako.

God alibless nikapata dogo la Kitutsi moja hivi ndio naishi nalo
Yule wa mwanzo amebaki kulaani tu mara aje usiku kumtisha huyu kuwa anampa onyo la mwisho amwache mume wake..

Hawakumbuki tena wale wanaume wake waliomfanya atoke kwangu na kwenda kupanga..
So broo kumove on ni bora sana kwako ila ni kubaya kwa mkeo na wanao believe me..
Hako kamke kako kamekengeuka kama kale ka kwangu so suala ni kukapiga chini kabisa.
Ukitaka nikufungulie code moja tu ingia PM yangu iko wazi pia ni ruksa kwa mwanaume yeyote kuja PM ajifunze.
Pia hata mkiona vip naimwaga hapa ili na wao yaani ke waione but
Huenda ikapelekea hawa wanawake kushituka na kujirekebisha halafu wakawa ving'ang'anizi sana wasiwaruhusu wanaume kuitumia hii code Right Way In Light sema..
 
Unaachana na mkeo mkiwa na watoto wanne kisa akikasirika anasema muachane? Au cjaelewa mkuu
 
Mkuu dondosha hiyo code, niko na notebook yangu hapa
 
Ulifanya uamuzi sahihi

Ndugu yetu Right Way In Light hakuna uamuzi mwingine sahihi fanya kama alivyofanya huyu jamaa

Usiwasikilize wazazi wala ndugu hata wakisema uendelee naye kumbuka wataongea na kusuluhisha watakuachia malaya lako ndani ya nyumba utaendelea kuteseka nalo
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…