Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Mkuu Nina ushauri mdogo Sana Ila ukipuuzia ni wewe ..
If a woman you love forces to say anataka muachane usipanic
Mosi: Usimjibu majibu marefu Sana mwambie Sawa haina shida halafu Anza kufanya sasa wewe mchakato WA kutengana naye , maumivu ni sehemu ya upendo .
Tena mharakishe afanikishe Nia yake .

Hapa kuna mawili

Kama ukimhatakisha akajia umeaccept anaweza loose control that's where true love for you will start ndio atakapoanzia kukupenda .

If she leaves make sure harudi Kwa gharama yoyote Ile .. Cut off every contact with her and that's life Man Move on
 
Daa inasikitisha ila jaribuni kuyaongea for the sake of your kids please. Kusingekuwa watoto hata asubuhi moja mngeachana tu ila watoto sasa tena 4 labda ukute sio wakwako na anataka muachane awapeleke Kwa baba yao.

Sema hapo wewe unajua kama ni mama mwema wa kumwachia watoto na kama sio basi jitahidi ubaki na watoto wako maana hakuna mwanaume atakubali kumuoa na watoto 4.

Watoto wengi wa mitaani walitokana na wazazi wao kuachana
 
Unakaaje na Mwanamke wa hivyo? Tuachane Tuachane Tuachane ni wimbo wa Zuchu kaoa Zuchu ndani?
 
Because anafikiri at that age na hao watoto you wont dare kuchukua maamuzi hayo, kuna kitu au mtu anampa kiburi. This time akibip akute mabegi nje kabisa
Akili itamkaa sawa, hawa vibe huwa wanatikisa kibiriti
wengine hua wako serioua mkuu tena wengu wao
 
Unavyozungumzia true love kwa wanawake wenye rangi nyeusi waliokulia kwa mtogole unajua kama unajishushia heshima?. Mtu kamba katolewa kwa chipsi kavu mapenzi ya kweli ayatolee wapi
 
Yaani malaya aendelee kuhifadhiwa ndani na kulishwa ili awe free sasa kufanya umalaya wake kama bwai bwai mzee kuna maisha hata maada ya kuacha mbona sisi wengine tuliweza move on...!
 
Mama amekujibu kiutu uzoma jiongeze tu watetezi unao..
 
THIS IS MATURITY..wanawake wrngi wana asili ya kuongea atoe sumu..thts why tunadumu muda mrefu..huyu ana lake jambo
 
Mada iko hapa na majibu yako hapa

cc.mtoa mada njoo usome mstari kwa mstari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…