Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Hivi nikuulize umeoa? Kwa jinsi ulivyo andika ukaonekana huna ufahamu na mambo ya ndoa. Mwanamke akiamua kukubadilikia anakubadilikia bila sababu, wako hivyo. Na kama umeoa mshukuru Mungu kama hayajakukuta
 
We jamaa na mkeo acheni ujinga, upo unajifariji hapa JF na Ushauri kutoka kwa baadhi ya watu ambao baadhi yawezekena hawajawahi ishi maisha ya ndoa, either wengine wameshaachana na wanawake zaidi ya watano akidumu kwenye ndoa miezi sita, yani uvunje ndoa yako kwa kauli ya' tuachane?'eti mwenzi hapendi kusema samahani , huko ni kuonyesha kukosa ukomavu, na ndo maana hakuna anayekusuport yeyote kwenye familia yenu zaidi ya mama yako na yeye anakusuport tu, wewe Huna makwazo kwa mwenzio au kwa sababu ni mwanamke ndo haruhusiwi kukasirika na sometimes kutoa maneno yanayokera, upo unajidanganya kwama nikiachana naye nitapata mwanamke mzuri na mwema zaidi yake" hilo lisahau utajuta , utakanyaga mavi ndugu na utajutia maisha yako yote nakuhakikishia, Hivi uanadhani mama yako hajawahi mtishia dingi kwamba tuachane kwa miaka yote waliyoishi ? Ungekuja na hoja za kutishia uhai au uhakika wa kusalitiwa yangekuwa mengine, hiki ni kipindi cha mpito tu , tena cha kipuuzi mmno, tunza familia yako kuitwa mwanaùme si lele mama, ukitaka kujua hayo kazungumze na mzee yeyote aliyedumu kwenye ndoa uone kama utaweza kuvaa viatu vyake. Any way maamuzi ya mwisho ni yako, kupanga ni kuchagua mkuu.
 
Umeandika kikubwa sana mkuu!

Wamama sisi 50/50 jumlisha tamaa vinatuharibia sana maisha yetu..
 
Mwanamke akimuwekea mumewe sumu kwenye chakula anaonekana shetani, ila mwanaume akimcharanga mkewe mapanga au kumchoma na magunia ya mkaa aahh ni haki yake, na bado yani mpaka muelewe somo kuwa wanawake washachoka na wameamua liwalo na liwe
Ukatili wowote kwa yoyote haukubaliki. Why umuwekee mtu sumu, si uondoke tu.
 
Ni kweli kabisa. Ndoa nyingi zina unafiki wa hali ya juu ila ki uhalisia hamna ndoa. Mnaishi eti kwa sababu watu watanionaje.. mimi linapokuja suala la maisha na afya yangu ya akili , huwa sijali watu watanionaje. Waafrika lolote utakalotenda liwe baya au zuri utasemwa tu. Nimegundua mahusiano yasiyo na afya ndio yanapelekea waafrika wengi kufa mapema. Watu wanajijazia misumu mwilini zinasosababishwa na stress. Unakuta mtu kafa ghafla kumbe alikuwa ana ugonjwa sugu bila kujua.
 
Mpo busy kushauri mtu asiyejielewa...eti baba yangu ni mkoloni aongei mara mbili kwa sababu anajua wewe ni weak man unaweza tikiswa na mkeo mpaka unalala library 😂😂

Eti dada zake watanionaje wale ni shangaz zake yani ili jamaa lina utoto sana acha linyooshwe 😂
 
Hamna kitu kama icho, Mwanamke akizingua mtimue, this is how we shape women, how we bring women back to square one
 
Ni kitu ambacho nimekua nikikiwaza kama ambavyo mwanaume yeyote angewaza...sasa sitaknkwenda deep maana inaonyesha unataka nikupe classified details 🤣🤣
Ila si unajua waswahil wanasema ukiona swala juu ya mti jua kapandishwa?
Yani wewe unastaili kabisa kuonyooshwa trust me mkeo ni more intelligent kukuzidi yani huu utoto kichwani 🚮
 
Nakuona ni mtu wa meditation, 'Maranatha' Come Lord!

Mpige mkwara tu mbele ya wazazi, na hatari iliyopo kwa uzinzi, magonjwa na athari kwa watoto! Mkwara uwe wa uhakika kiasi kwamba neno la kuachana likome!

Ishini mlele watoto! Hakuna mwanamke malaika wala mwanaume malaika!
All the best, ishi na mkeo!
 
Ushauri wa kijinga umetumia zaidi hisia kuliko akili,

kauli ya tuachane ambayo inajirudia rudia mara nyingi imeonesha ukosefu wa heshima na hii ndio sababu ya kuvunja ndoa
 
Apa bado sitaweza kukushauri kuhusu mapenzi
 
Usimpoteze, mawazo yako hayafaihata kidogo and I'm writing this from my own experience. Me and my wife we're now clocking 23yrs but I was in a terrible, awkward and miserable relationship before I met her. My first born from my first relationship is now a grown-up dude but if I would have forced myself to 'stick' sidhani kama ningekuwa hai yaani the frustrations she used to put me through ni balaa, kufa kwa sonona au kutokuwa sawa mentally would have been an obvious aftermath.
 
A cheating woman belongs to the streets. Let her be.
 
Wife anakutishia NYAU sio?
vipi amesema hupati bebe na mtoto mkali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…