Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023

Tanga mnatumika
Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.

20230712_153547.jpg
 
Tanga?
Kwahio watu waache kufanya shughuli zao sababu ya huo upotoshaji wenu?
 
Binafsi sijakuelewa. Elezea zaidi, au kama kuna member aliyeelewa naomba anieleweshe.
Kwa mujibu wa mtoa mada anadai kuwa Dp World wanakikao silu ya tarehe 22

Yanga nao jambo lao wameamua kulifanya tarehe hiyohiyo.

So kuna connection hapo kati ya Yanga na Dp kuwa wana ajenda zinazofanana.

Namimi naona ana pointi ya msingi kwasababu hakuna namna unaweza kuitenganisha Yanga na CCM
 
Alinichanganya na hilo neno TANGA.
By the way, kipi kilianza kuwekwa hadharani kati ya kikao cha DPW na siku ya wananchi (tena ni wiki ya wananchi)
 
Hawa viongozi washaonao wantania wengi akumuwekea maendeleo,haki na ushabiki wa mpira..anachagua kuwa mshabiki wa mpira..ishara ya akili za kimasikini na ufukara kabisa
 
Kwa mujibu wa mtoa mada anadai kuwa Dp World wanakikao silu ya tarehe 22

Yanga nao jambo lao wameamua kulifanya tarehe hiyohiyo.

So kuna connection hapo kati ya Yanga na Dp kuwa wana ajenda zinazofanana.

Namimi naona ana pointi ya msingi kwasababu hakuna namna unaweza kuitenganisha Yanga na CCM
Hujamuelewa kidogo tu lakini umemuelewa. Siku hiyo kuna Mkutano wa hadhara wa Wazalendo wanaopinga mkataba wa ovyo wa DPW wakiongozwa na Dr Slaa. Ingawaje binafsi sioni connection ya hili na siku ya Yanga kwani Mkutano wa kisiasa unaweza kubadilishwa siku.
 
Alinichanganya na hilo neno TANGA.
By the way, kipi kilianza kuwekwa hadharani kati ya kikao cha DPW na siku ya wananchi (tena ni wiki ya wananchi)
Bila shaka ndio watakuwa wameingilia shuhuli katikati maana wao leo ndio wametangaza tena masaa machache yaliyopita
 
Hivi ujui Yanga day ni jambo muhimu kuliko huo ujinga mwingine
Eti anataka kufananisha Yanga na Bandari thubutuuu! Watu tunataka burudani Kwanza tusuuze Moyo....hiyo Bandari iuzwe isiuzwe sie wa mtogole huku hatuoni tofauti.....
Usifananishe Yanga na vitu vya ajabu....wananchi twendeni tukaujaze uwanja.
 
Back
Top Bottom