Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Wewe ni tobias mzaliwa wa kilolo huko...tusichoshane akili hapa
😁😁😁😁 kwani huyo jamaa yako ana sifa gani hadi kumfananisha na ..."the great genius of all time"😁😁😁😁 isije kuwa unanifananisha na wale jamaa wanao penda wanawake wenye matako makubwa au kada mojawapo la ccm ....usije kuwa umenifananisha na wapumbavu wanao enda misikitini au makanisan au wanao sema mudi boy ni mtume au mwamposa ni mtume ....kabla ya kunifananisha na huyo tobias muulize je ? Bora atukaniwe baba yake kuliko mama yake ? Akijibu ndiyo huyo ni mpumbavu siyo mimi wala hana sifa za kufananishwa na mimi ....muulize huyo tobius mungu ana nafsi ngapi? Akikujibu 3 basi jua huyo awezi kuwa mimi wala astaili kufananishwa na mimi ....kwa mtu mwenye vijiakili anaweza kunifananisha kwa kunisoma tabia zangu na misimamo yangu na kujua ninafananaje kitabia ...i
 
Asisingizie ubunge. Tabia yake mbovu imemfikisha alipopachagua
Inawezekana ana tabia mbovu, hiyo anaijuwa Ex husband wake ila ukweli ni kwamba wabunge karibia ya wote wameathirika na ni wazinzi wa kutupwa eti ndiyo watunga sheria wetu? 'mamake kweli, yaani mtu anaruka serekasi bungeni na wengine wanapiga punyeto live tunawaona ndiyo wanatutungia sheria kweli jamani? This is not right, something is wrong here. and it must change.
 
Jamaa alizuka siku moja ghafla usiku Dodoma Nyumbani kwa mkewe! Akamkuta Sebuleni amevaa night dress yupo na mweshimiwa mmoja Wana gonga wine na kwa mbaaali mziki wa Judy boucher ukiwatumbuiza.Ila ameolewa kama make wa pili na waziri mmoja hivi mwenye makeke yake mjini
Ahaa haaaah. Eti muziki wa Judy Boucher ukitumbuiza, napenda niongee msumali hapo kuwa wimbo wenyewe ni Tonight.
 
Sifa za wanawake bora wa kuoa zipo ila wanaume hujitoa ufahamu na kuoa mwanamke ili mradi ni mwanamke tu. Madhara ya kuoa ili mradi mwanamke tu ndiyo haya. Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Shida sio kuoa mwanamke tu, unakuta mwanamke umemfanyia vetting vizuri tu. Ni wife material ila sasa linapokuja swala la tamaa hawa wenzetu huwa kuna mstari mwembamba mno kati yao na tamaa za maisha.

Mke unayemuamini anaweza kurubuniwa kijinga sana na akasahau ghafla mlipotoka. Tamaa ya fedha ni kitu kibaya sana ambacho wanawake wachache sana wanaweza kuhimili kuendelea kuwa Loyal bila kuzama.
 
Kwenye familia unaweza kuishi kwa bahati ya mwenzio, huyo dada alivyoachana na mumewe wa huko Singida tena jamaa akawa analalamika kuwa anamnyanyasa hampi unyumba , nyumbani hakai, anamsaliti na mbunge mwenzie hadi akampiga marufuku kutumia jina lake moyoni nikajua tu huyu aendako hatofanikiwa.
Alikuwa amefumbwa akili kwa tamaa na spending za hatari za kibunge. Usifanye masihara mwanamke apate chance ya posho laki tatu kila siku utamwambia kitu ganišŸ˜‚ bado anakunja salio refu mwisho wa mwezi.
 
Hilo la uongozi kwenye taasis ya familia kila siku nalisema hivyo hivyo kama wewe ulivyosema na naliishi kwamba, kwenye familia niliko, mkuu wa familia na msemaji wa mwisho ni mume wangu. Ila pamoja na hayo, bado kuna majukumu ya mama ambayo nayafanya na walio chini yangu kwenye eneo la jukumu hilo wanajua mimi ni kiongozi na lisipofanyika vizuri jukumu hilo, mkuu wa kaya ataniona mimi mzembe.

Sasa tutofautishe uongozi wa kwenye taasis ya familia na wa kwenye taasisi za umma ambako, ni vitu 2 tofauti na mahitaji ya kujaza nafasi za uongozi wa taasis ambazo siyo za kifamilia ni mengine kabisaaa.

Habari za asubuhi jamani, maana kasalamu nako muhimu kwenye uongozišŸ˜…
Umezungumza vyema Dkt. Lakini tatizo linaanziaga kwenye mipaka.

Wewe una nafasi kwenye ngazi ya familia na roles zako unazijua ila pia una majukumu ya kiserikali. Unatakiwa kutengeneza balance ya pande hizo mbili za sarafu ili wa nyumbani wafaidike na uwepo wako ila pia jamii inufaike na nafasi uliyopewa kuwahudumia.

Wanawake wengi walioanguka ama kufeli walishindwa kutengeneza balance katika pande hizo mbili. Mume na watoto wanakuhitaji na jamii inakuhitaji pia ila unachagua upande mmoja ambao unakupa maslahi mathalani uchague ofisi sababu kuna mshahara na marupurupu uangushe familia.

Mwisho ni majuto tu kama mtoa mada anavyolalama.
 
Kubadilika itategemeana na mayurity ya mtu, huko kubadilika mpaka kumtupa mwenza wako ni ushamba, it only happen kwa watu ambao hawana experience kushika pesa ndefu
Kubadilika ni ushamba tu wa maisha. Kama mtu ni mshamba wa maisha anaweza kuanza hata kudharau watu wanaomzunguka. Its a very stupid thinking kwamba ukiwa na mshahara mkubwa watu wanaokuzunguka wanakuwa hawana maana.
 
Nafikiri ni watu kutokujua akili ya mwanamke, wanawake huwa wanapenda kuwa na watu walio juu yao kwa kila kitu.

Mwanamke wako hawezi kuwa kila siku anakutana na kujadiliana mambo na Waziri mkuu halafu akaendelea kukuheshimu wewe mwanaume aliyekuacha Dar ukifanya kazi zako za kawaida za mshahara wa milioni. Labda huyo mwanamke awe ana hofu ya Mungu sana!

Wewe unaweza kuwa unampa mwanamke wako milioni sita kwaajili ya matumizi kila mwezi, ila huyo mwanamke akikutana na mwanaume mwingine akampa milioni 20 kwa siku moja tu, mwanamke wako anaanza kukuona wewe takataka na sio wa 'level' zake.

Ni ngumu sana mwanamke wako kukutana na kukaa muda mrefu na watu waliokuzidi fedha, umaarufu na vyeo halafu akaendelea kukuheshimu na kukuona wa hadhi yake.
​
Ni tatizo kwa wanawake almost wote hilo actually huwa wanatamani mambo makubwa bila kujali risks.

Mwanamke ameishi na wewe unazungumzia mradi wa kufuga kuku na kujenga fremu ghafla anakutana na mtu anazungumzia deals za mabillion ya fedha kupitia mega projects kama kujenga mahoteli, kufungua makampuni na viwanda lazima akuone wewe kama zuzu ndio tabu inaanziaga hapo.

Mbaya zaidi akishafunuliwa chupi ndio akili inahama mazima. Anaweza kutelekeza hata familia akishaingia kwenye loop ya mafisadi.

Ukiniuliza possible way ya ku control mwanamke dhidi ya tamaa nitakwambia ni kumnyima exposure tu. Ukimpa nafasi ya kukua lazma mtaachana tu.
 
Back
Top Bottom