Kufanikiwa kuna dimensions😄!
Unaweza ukafanikiwa kiuchumi ila kijamii ukafeli. Kunahitajika balance baina ya uchumi na familia.
Wanawake wengi wakifanikiwa kiuchumi huwa hawakai na ndoa kwa maana taasisi ya familia inaparanganyika tofauti na wanaume.
Mwanaume akipata hela za kuzidi atataka familia yake iishi kishua anzia watoto hadi mke wake. Watavaa sana, watasoma shule nzuri, wataenda hospitali za kishua, wataendesha magari makali na investments zitakuwepo.
Case ya mwanamke, akipata hela za kuzidi ataanza kumuona mumewe kama hapambani, ataanza kum compare na wanaume wengine ambao wamemzidi sana hela na kuanza kumsimanga kila uchao. Maelewano yakipungua mjengoni atatafta kijana wa kumfariji kwa siri atakuwa anampa mbunye huku akisumbua kutoa huduma kwa mumewe. Kinachofata atakuwa hashauriki na haambiliki ataanza kukumbatia watoto na kumtenga baba yao. Mwisho wake itaanza kudaiwa talaka ili awe huru maana hata kumpikia na kumfulia mume kwake itakuwa kama favour sana.
Mwisho ni majuto maana akili zikimrejea anajikuta amefanya damage kubwa sana kwenye maisha yake.