Naota navamiwa na majambazi au wachawi

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…11pro max imeshuka bei njoo nidanganye nayo
Now you don't want iphone 12 anymore πŸ˜ƒ
unaonaje nikikupa infinix hot 11πŸ˜ƒ ina macho matatu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivyo ndo viatu vyako ww na mkeo sasa kwann usiote unavamiwa nikushauri toa hii picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole Mkuu, always kumbuka kusali kabla ya kulala, sala ni kinga moja takatifu sana, ni ulinzi tosha.
 
Mke wangu ameokoka yulo TAG. I am roman catholic. .
Huwa namweleza wokovu nimeupata pale Yesu alipojitoa kwa ajili yangu msalabani. Nifafanulie unaweza Okoka mara ngap?
Umeomba msaada vizuri kutulia

Mkeo akupeleke huko TAG uonane na Mchungaji akueleze vizuri kuokoka ni nini

Mkeo sio Mchungaji utamuonea kutaka yeye ndio akupe maelezo

Narudia usiende kule kutaka uombewe matatizo yaishe ongelea hoja ya kuokoka

Yesu akiingia moyoni akafanya makao umedhamiria kumpokea hiyo shida yako itaisha

Nenda kaongee na huyo mchungaji wake wa Tanzania Assemblies of God kifupi TAG atakusaidia usiongee na yeyote zaidi ya huyo mchungaji agenda iwe moja nataka kuokoka nifanye nini nipate kuokoka ? Sio naomba mchungaji uniombee

Mark my words carefully ninayoongea

Angalia vizuri maneno naongea sijasema uende kuomba uombewe ongea naye kuhusu kuokoka
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Sina uhakika
Alisema yanga ikipigw nayeye apigwe ban🀣🀣😬

Jamaa kama alibet kapoteza hela nyingi sanaπŸ˜ƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivyo ndo viatu vyako ww na mkeo sasa kwann usiote unavamiwa nikushauri toa hii picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ahah hivyo viatu vyangu, mke wangu na msichana wa kazi. Yuko na mwanangu mkubwa kwa mama yangu mzaziπŸ˜ƒ

au unataka nipige picha cabinet yangu nyingine nina viatu kuliko nguoπŸ˜ƒ natokea kwenye familia ya nguo mzee wangu ana maduka ya nguo kkoo huko huwa nachukuq tu. Kuhusu viatu na nguo sijawah kuwaza labda mambo mengine πŸ˜ƒ
 
Mama mkwe wangu kila akifika nyumbani cha kwanza ananambia "mwanangu sijawahi sikia sifa zako mbaya, wala sijawah sikia unakunyw pombe, wala kutanya uasherati πŸ˜ƒ. Kwa nini unakuwa mgumu kuokuka kwa sababu vyote hivi hufanyi imebaki nini sasa kama sio kuokoka?"

Mungu ampe maisha marefu sana. KifupI hata juzi alinipigia simu maneno yake ni kuwa tuko vitani. Shetani hajawahi kulala. Mwanangu fanya mpango uokoke na ukiri Yesu kristo ni mwokozo wa maisha yako"

Briefly, nimekulia katika ukatoliki kindakindaki. Nimekuw katika ndoto za kuwa Padri. Sijajua ilikuwaje hapa kati ila Imetoke sikufata nadhiri ile. Binafsi naamini kumshika Kristo siyo lazima kuokoka. Kwani Yesu hakuja kuanzisha dhehebu mpaka niwe RC au TAG. Nimezungukwa na waliookoka na kifupi wengi wao hawaishi hivyo na hata niwajuao ni mda tu kujua maisha yao halisi.

Je swali unaweza okoka mara mbili? Ikiwa kitendo cha Yesu kufa msalabani kimetukomboa dhambini?
 
Pole kwa shida unapitia mimi.naongea na wewe sikujui ila naungana nao uokoke tafadhali

Duniani tunahitaji kusaidiana na kupeana solutions ukiona mwenzio ana shida na dawa unajua iko wapi sio vizuri kumficha binadamu mwenzio nenda tu kwa mchungaji yeyote wa Tanzania Assemblies of God yeyote aliye karibu nawe atakusaidia kufikia hilo lengo la kuokoka na kukupa maelezo ya kutosha ukiweza hata sasa mwambie mkeo au Mama yako wakupeleke au nenda mwenyewe saa ya wokovu ni sasa wahi nenda popote ulipo hiyo shida hutaiona usiku wa leo usiseme nadhani niende kesho nenda leo leo kumaliza hilo tatizo ulale vizuri usiku
 
Umeokoka? Kipi kinachokutambulisha wewe umeokoka


Nina rafiki yangu anaitwa Mushi. Yeye kaokoka juzi alienda safari ya kwaya Kenya. Nilimuliza swali la kuwa kipimo chake cha kuwa ameokoka ni kipi? πŸ˜ƒ
Akanijibu " nikiwa katika safari zangu kama dereva nakutana na watu wengi na hata wasiomjua kuna wanaomwita MTUMISHI. Je wamejuaje yeye ni mtumishi isipokuwa kuokoka kwake😊"
 
Haya mapicha picha mnayatoaga wapi?

Hamjui nayo yanaweza kuwa na connection na roho za shetani?

Tafuta mkanda unaitwa "Lucifer" angalia hiyo tamthilia kisha utaelewa ninachokueleza.
Picha ambazo anatengeneza binadamu kwa kutumia computer Zina uhusiano gani na Lucifer?

Tatizo mnazungumza halafu hamfafanui nitaelewaje hapo
Binadamu Mtakatifu please help
 
Yupo sana humu kwa IDs zingine anawachora huku anacheka "Hiiiiiiiiiiii" kwa sauti ya Hayati Dr JPM [emoji4]
IF yako sio ya half american kweli?

πŸ˜ƒπŸ˜ƒalipigwa ban au kajipiga ban? Ban ya miez sita sio mchezoπŸ˜ƒ akirudi atakuw na adabu sana
 
Nimemalizana na wewe jinsi ya kumaliza tatizo lako ushauri waweza ukubali au kuto ukubali ni haki yako ya kidemokrasia

Nanawa mikono nimemaliza kukushauri yaliyobaki ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…