Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Anayo sema ni kweli 100% sorry nilisahau kukwambia πPicha ambazo anatengeneza binadamu kwa kutumia computer Zina uhusiano gani na Lucifer?
Tatizo mnazungumza halafu hamfafanui nitaelewaje hapo
Binadamu Mtakatifu please help
Nashukuru sana kwa ushauri. .Nimemalizana na wewe jinsi ya kumaliza tatizo lako ushauri waweza ukubali au kuto ukubali ni haki yako ya kidemokrasia
Nanawa mikono nimemaliza kukushauri yaliyobaki ya kwako
Ile kauli ya "Ibilisi wa Mtu ni Mtu" unadhani ni pambo tu?Picha ambazo anatengeneza binadamu kwa kutumia computer Zina uhusiano gani na Lucifer?
Tatizo mnazungumza halafu hamfafanui nitaelewaje hapo
Binadamu Mtakatifu please help
Anadhani jinsi anavyoiona hii dunia kwa macho ya nyama ndivyo jinsi ilivyo kwenye ulimwengu wa roho, pole yake kwakweli [emoji23]Anayo sema ni kweli 100% sorry nilisahau kukwambia [emoji16]
Ila ndio ukweli
Ooh manIle kauli ya "Ibilisi wa Mtu ni Mtu" unadhani ni pambo tu?
Shetani ni roho chafu humuingia Mtu yeyote asiye na connection na Mungu.
Nimekuwekea mfano hapo wa kutafuta hiyo thamthilia kwa jina la "Lucifer" utachokutana nacho utakuja kushuhudia humu.
Picha, Sanamu, miti kama mibuyu na mikuyu, majengo yasiyokuwa na makazi ya Watu popote (si yote) huwa na muunganiko wa roho chafu/mashetani "Mizimu, Mapepo, Majini, Wachawi, Washirikina, Wanga, Walonzi na Waganga wa kienyeji".
Wazo langu si sheria, mwisho.
Mambo mengine sio ya kiroho. It's just a picture haina maana au muunganiko na shetani. Ikiwa kila kitu mnakiunganisha na shetani wakati hausiki mnakipa maana. .Anadhani jinsi anavyoiona hii dunia kwa macho ya nyama ndivyo jinsi ilivyo kwenye ulimwengu wa roho, pole yake kwakweli [emoji23]
Rudi kwenye ujumbe wangu wa awali kabisa kisha nisome vizuri katikati ya mistari utajua hukunielewa hata kwa 0.0001%.Picha za huyu jamaa ni za lucifer ? [emoji116] mbona hafananiiView attachment 2590955
Umesema hizi picha zinaweza kuwa na connection na shetani. Nimeshangaa kwa sababu haina uhusiano na shetani. Ni emoji tu. .Rudi kwenye ujumbe wangu wa awali kabisa kisha nisome vizuri katikati ya mistari utajua hukunielewa hata kwa 0.0001%.
Ndiyo uelewe hata kama hutaki, nilishaangalia muvi za kichawichawi nyingi sana zikiwemo za Merlin na sikuathiriwa na lolote ila nilipoangalia hiyo tamthilia ya "Lucifer" nilidhihirisha kuna nguvu za giza tena nilikuwa nimefunga lakini nguvu zilikuwa zinavutana daily hadi siku nilipochukua CD nikaichoma moto ndipo roho za mauti ziliacha kuniandama.Mambo mengine sio ya kiroho. It's just a picture haina maana au muunganiko na shetani. Ikiwa kila kitu mnakiunganisha na shetani wakati hausiki mnakipa maana. .
Hata simu ni chombo Je ni shetani?
I watched Merlin nikiwa mwaka wa pili chuo ila ni kitambo sana. Hii movie ya Lucipher nitaitafufa kisha nikuletee mrejesho. .Ndiyo uelewe hata kama hutaki, nilishaangalia muvi za kichawichawi nyingi sana zikiwemo za Merlin na sikuathiriwa na lolote ila nilipoangalia hiyo tamthilia ya "Lucifer" nilidhihirisha kuna nguvu za giza tena nilikuwa nimefunga lakini nguvu zilikuwa zinavutana daily hadi siku nilipochukua CD nikaichoma moto ndipo roho za mauti ziliacha kuniandama.
Pia hata video za X na picha za ngono (pornographies) zipo connected na nguvu za giza maana zilinitesa sana miaka 8 kwa punyeto hadi nilipofunga na kusali sana kwa imani ndipo nikaachana na masterbation na miaka 11 sasa sijui nini maana ya punyeto.
Jifunze kujifunza uelimike na unufaike si kuwa mbishi pasipo kutafuta maarifa na kuthibitisha hoja kivitendo.
Unajua unashindwa kuelewa kitu kuwa nyuma ya kila kitu hasa cartoons hua kuna nguvu ambayo hukuvuta na kukulewesha katika mambo mabaya nguvu hiyo huwekwa kwa manuizo na mapepoPicha za huyu jamaa ni za lucifer ? π mbona hafananiiView attachment 2590955
Binadamu Mtakatifu umesahau kuwa ulikuwa na ID unajiita shetani mkuu? π¬Unajua unashindwa kuelewa kitu kuwa nyuma ya kila kitu hasa cartoons hua kuna nguvu ambayo hukuvuta na kukulewesha katika mambo mabaya nguvu hiyo huwekwa kwa manuizo na mapepo
Sio kila unachoona kinafanana na malaika ni malaika
Sikukuhakikishia kuwa inahusika na ushetani kwa 100% bali nilikuwa naihusisha kwa kukuuliza.I watched Merlin nikiwa mwaka wa pili chuo ila ni kitambo sana. Hii movie ya Lucipher nitaitafufa kisha nikuletee mrejesho. .
Picha za uchi huaribu akili sana na hata masterbating. Kanisa Katoliki linaamini mwanaume anatakiwa amwage mbegu (essence) ndani ya vagina na akimwaga tofauti na hapo ni dhambi. .
Masterbating ni dhambi kwa sababu haihusishi what is normal. Sio kwamba nabisaha kuwa sanamu au majengo yanaweza yakausishwa na shetani la hasha. Walipotengeneza mwana ndama ili wamwabudu ilikuw dhambi ila picha niliyopost ni just emoji. Nimeshtuka ulivyosema Inahusika na shetani. .
Kwenye wale Wezi wawili waliokuwa pembeni yake we ulikuwa wa upande gani ?Hizi emoji tu cartoon hazina uhusiani na shetani. Mimi ni Mkristu mfuasi wa Kristo hapo juzi nimefufuka na Kristo. .
Hauna nguvu yeyote wewe ni huruma tu ila Mungu hayuko ndani yakoBinadamu Mtakatifu umesahau kuwa ulikuwa na ID unajiita shetani mkuu? π¬
unachosema ni kweli na mapepo hukaa mbali na mimi kwa sababu nguvu ya Bwana Yawheh iko ndani ya roho yangu π
Mm Kuna muvi ya MEL GIBSON,I watched Merlin nikiwa mwaka wa pili chuo ila ni kitambo sana. Hii movie ya Lucipher nitaitafufa kisha nikuletee mrejesho. .
Picha za uchi huaribu akili sana na hata masterbating. Kanisa Katoliki linaamini mwanaume anatakiwa amwage mbegu (essence) ndani ya vagina na akimwaga tofauti na hapo ni dhambi. .
Masterbating ni dhambi kwa sababu haihusishi what is normal. Sio kwamba nabisaha kuwa sanamu au majengo yanaweza yakausishwa na shetani la hasha. Walipotengeneza mwana ndama ili wamwabudu ilikuw dhambi ila picha niliyopost ni just emoji. Nimeshtuka ulivyosema Inahusika na shetani. .