Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

ALAF hiyo ina mwaka wa 4
20230401_153614.jpg
 
Chukua Ando au alaf rangi damu ya Mzee mwaka wa tano huu nimeezeka nyumba zangu mbili rangi bado mbichi kabisa pia usiwahamini mawakala Kuna Mzee jirani yangu walimletea bati eti alaf rangi nyeusi imepauka miaka miwili aijaisha tangu apauwe
 
Aisee sawa , nataka nichukue dragon geji 28 Kwa 14,000 Kwa MITA, ila hawataki ,
 
Nimemaliza Kupiga Mbao, site yangu wameshakuja watu wa sales wa makampuni mbalimbali, na wamenipiga saundi za kutosha, mafundi nao waliopiga mbao wamenishauri ila walivyoona nimepagawa sielewi nitumie bati kampuni Gani wakaniambia wewe Bosi leta bati yeyote sisi tutapiga mana sijui tukushaurije.

Katika watu na makampuni niliongea nao Kila mmoja anavutia kwao, nimeamua Sasa nibaki na choises tatu tu ANDO, ALAF na Dragon mana nisije kuchizika
Katika bei ukipanga Kwa namba 1, 2 ,3 wakwanza na wapili tofauti ya bei ni 2800 , wapili na watatu tofauti ya bei ni 3000, na wakwanza na watatu tofauti ya bei ni 5300 Kwa Kila MITA ya bati, Mimi nahitaji mita 600.
Sasa mabati yote ni mazuri, ila kati ya Ando, ALAF na Dragon nani Bora zaidi, hapa ndo mtego umejificha, makampuni mengi yanasema hiyo kampuni bei yao IPO juu c Kwa sababu ya ubora Bali ni kwasababu Wana brand kubwa.

Naombeni mnishauri , nichukue bati Gani ambayo itakuwa ni Bora zaidi kati ya hizo tatu hapo juu.
Nenda ALAF ushauri wa buree usije sema hukushauriwa
 
Back
Top Bottom