Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usisubutu kupata rangi bati utajutaNaomba kuuliza.... Je, huwa Kuna rangi kutoka ALAF za kupaka bati Kama rangi iliyopo umeichoka??.... Rangi kutoka kampuni ya ALAF siulizii toka kampuni nyingine.
Thanks
[emoji32][emoji35] hiyo pipk au batFekoni
Kwann?usisubutu kupata rangi bati utajuta
Hiyo sio AlafUbora hapo ni kitu gani,kutokupata kutu au kutokupauka,maana kuna mahali nimeona bati la ALAF limepauka na lina kutu nikabaki nimeduwaa kwa jinsi yanavyosifiwa....
Ndunduliza taratibu mkuu Chukua ALAF.Yani ALAF inasifiwa sana , Sasa bei juu lakini nimetokea kuipenda ila pesa sina
Ngoja nikauze ng'ombe zanguNdunduliza taratibu mkuu Chukua ALAF.
CHEMA CHAJIUZA HIYO NDO ALAF
Sawa mkuuNgoja nikauze ng'ombe zangu