hakuna kisicho pauka ndugu,ila muda wa kupauka ndo unachotakiwa kuangalia hapo
Kuhusu bati bora ni bat ambazo zina gauge 28 na kuendelea kwa kwenda 26 -24-18-16 mpka mwisho
Pia ithibati ya material ambazo wanatumia hivyo viwanda katik uzalishaj wao wa mabati,
Hap ndo tatizo linapokuja wanachukua wap coil zao.je wana chukua china au korea na kam china ni grade ngapi
Ila hiyo uwezi pata kwa muuzaji ni siri ya kiwanda
ALAF ni nzur ila sio bora kuliko hivyo vingineo.
ANDO ni nzur ila sio bora kuliko hivyo vingineo.
Sunshare ni nzur ila sio bora kuliko hivyo vingineo.
Kutoka katika hiz kampun 3 kuna ambaye jina lina mbeba kuliko uhalisia wake.
Naongea kam mtu ambaye nimefanya kaz katika hiyo sekta ya ROOFING MATERIAL kwa zaid ya miaka 7 katika kampuni 2 kati ya hizo hapo juu
MAONI YANGU; chukua bati ambayo itakuwa inaendana na bajeti yak kati ya hiz kampuni 3 ,ila ALAF NA SUNSHARE wao wana uzaifu wa mawaka wao wapo ambao sio kwa tabia zao ila ANDO yey kwa upande huo anawazidi wenzie kwa kuwa yey utapata kweny kiwanda chak au kweny outlet zake
Hitimisho kwa bias zangu chukua bidha za ANDO maan unaweza fanya research ya kuzunguka site nying unaweza kuta bati zmepauka na utaskia kampuni zote hapo juu ila hutasikia ANDO ikitajwa,pia 8gopa g30 kwa kampuni yeyote ile kwa maan zitadumu kwa almost 5year only baada y hapo zina fade
Kifungashio kwa walio dar , bigbon sinza mori pale juu kuna bat ya ando rangi ya karoti toka ijengwe haija pauka, KKKT ubungo plaza ile bati ni Ando bado ukijani wake upo pale