Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

Kwa upande wangu
1. Ando
2. Sunshare

Kwa nini Ando, hawa jamaa hawafeli, kazi zimenyooka, kwa kazi zangu za kampuni ni ando, any kind of metal equipment, containers n. K

Sunshare hawa ndio wanaomvua nguo ALAF, hapa kwa hawa jamaa ALAF anabki jina tuu, kwa bati imara za kwangu binafai ni kwa hawa jamaa, quality kubwa bei ndogo KIDOGO
 
Uko sahihi nimetumia sunshare bati zao ni ngumu na imara sana alaf anafata kiukweli
 
Kuna bati za alaf damu ya mzee dah zina muhuri na kila nembo ya alaf lakin zimepauka hat mwaka haujaisha..sijui ni nini
Utakuwa ulichukua 30g, ungepata za 28g zinachelewa sana kupauka.
 
Bati ni ALAF pekee, ukikosa hizo afadhali tu usiezeke maaa ndani ya muda mfupi tu utaichukia nyumba yako hata kabla hujahamia.


Kazi kwako
 

Vipi kuhusu Sinoray?
 
Money is directly proportion to quality.
Bora ujivute uchukue kilichobora
 
ANDO achana nao kabisa apo Chukua ALAF ukishindwa bei nenda kwa DRAGON
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…