Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ukiona hivyo kuna mtu anafaidika kwenye biashara yako ambaye siyo wewe.Habari wakuu ushauri kwenu nahitaji.
Katika biashara zangu tatu wastani wajumla napata faida ghafi laki nne kwa siku wakat mwingne huzid hapo.
Ila mtaji wangu kwa mwaka nikama hauongezeki uko pale pale.
Ukizingatia matumizi yangu kiujumla kwa siku ni 40000-50000 sababu ya familia kubwa.
Fuatilia transactions zako zote kwa mwezi na angalia bank deposits kama zinaoana na bank statements na kisha anza kushiriki usimamizi wako wa moja kwa moja kwenye biashara zako.
Hakikisha kama umeajiri ndugu anza kuwaondoa mmoja mmoja na labda ufungue small scale business somewhere uwape waendeshe kisha wawe wanakuletea hesabu