Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

Huku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vichekeshoo kwa kweli.
 
Huku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Ni kuchaguwa tu,uwende upande wa kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwa
 
Huku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Mbonguni itakua ni mahala pa kupigana miti tuu usiku kucha. Yaani mbinguni itakua kama danguro, inanuka nyapu kila mahala maana kila mwanaume kupata mabikra 72, zidisha idadi ya wanaume wote Duniani toka Dunia imeumbwa si itakua balaa.

Na Quran tukufu inasema utapewa mabikra 72 wenye macho mazuri, maumbile mazuri na watamu, kisha utapewa nguvu za kutumia wanawake 100 ila utakua nao 72 so una reserve energy ya wanawake 28.

Mimi binafsi kazi itakua ni kula nyapu tu 24/7.
 
Kila siku unaleta mada ya uisilamu mbona uleti mada ya ukirisito au kwa sababu ni imani yako
 
Huku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Ni kuchaguwa tu,uwende upande wa kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwa
Lazaro.
Mathayo 26:29
Ninawahakikishia sitokunywa Tena mvinyo wa mzabibu mpaka siku nitakapokunywa pamoja nanyi katika ufalme wa baba
Umemaliza mjadala.Kumbe upande wa pili pia watakuwa na pombe,hawasomi maandiko.
 
Mathayo 26:29 BHN​

Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Tatizo hawasomi maandiko yao,wanavamia maandiko ya waislamu,kumbe hata kwenye maandiko yao,Pombe iko mbinguni.
 
Adam na Hawa walikua wakifanya nini mbinguni!?
 
Ni kuchaguwa tu,uwende upande wa kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwa
Lazaro.

Umemaliza mjadala.Kumbe upande wa pili pia watakuwa na pombe,hawasomi maandiko.
Nashangaa mtoa mada hasemi lolote na nimem-reply!!..huko aliko anapitia andiko Mara kumikumi jicho limemtoka Kama mjusi
 
kuna utofauti upi sasa wa watu kula likitimoto lenye mifuta wakishushia na hizo pombe
Mkuu jaribu hii kitu siku moja hutajuta 😅😅😅😅😅🐷
 
Attachments

  • FB_IMG_1677664295115.jpg
    88.9 KB · Views: 4
Pamoja na kwamba sitaki kujibu hoja yako moja kwa moja ila nikupe tu taarifa kuwa; watu watakao kuwa Mbinguni watakuwa tofauti na hawa waliopo Duniani
Mf: hawatavaa Nguo ila hawatajiona Uchi, hawatakuwa wakufanya makosa kwani shetani atakuwa ameondolewa. Nategemea hata Pombe iliyotajwa ije kwa sura mpya, pengine isileweshe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…