Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

Kumbe hii dini nzuri eeeh😋😋😋🍻 🍻

Wabheja sana!
 
Hiyo Pepo si itafanana na ile Club ya Kaumba Pale Morogoro Mjini karibu na Soko Jipya.
Ni Pombe na Ngono tu.
 
Pamoja na kwamba sitaki kujibu hoja yako moja kwa moja ila nikupe tu taarifa kuwa; watu watakao kuwa Mbinguni watakuwa tofauti na hawa waliopo Duniani
Mf: hawatavaa Nguo ila hawatajiona Uchi, hawatakuwa wakufanya makosa kwani shetani atakuwa ameondolewa. Nategemea hata Pombe iliyotajwa ije kwa sura mpya, pengine isileweshe....
Kama haileweshi hiyo sio pombe, ni juice au grand malt.
 
mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, Pombe ya Pepopni haileweshe inakufanya ujisikie raha pasipo na kulewa pombe yenye utamu na sio pombe ya dunia kali yenye uchungu na kukufanya ulewe uchanganyikiwe kiakili.
Pombe za hapa duniani zipo za aina nyingi, zipo tamu kama sukari na zinaewesha, mifano ni Moscato, White Zinfandel, Riesling, Port, Sauternes, n.k.

Lengo la kunywa pombe ni kulewa ili ujisikie starehe, starehe huwezi ipata bila kulewa, akili lazima ishift kidogo ndio maana hata uwe na matatizo unajikuta unacheza mziki bila stress. Au hujui kwamba pombe ni madawa ya kulevya ?

Na vile pombe inavyoshukaga chini naona mabikra washaandaliwa kuwa stand by kwajili ya action.
 
Pombe za hapa duniani zipo za aina nyingi, zipo tamu kama sukari na zinaewesha, mifano ni Moscato, White Zinfandel, Riesling, Port, Sauternes, n.k.

Lengo la kunywa pombe ni kulewa ili ujisikie starehe, starehe huwezi ipata bila kulewa, akili lazima ishift kidogo ndio maana hata uwe na matatizo unajikuta unacheza mziki bila stress.

Na vile pombe inavyoshukaga chini naona mabikra washaandaliwa kuwa stand by kwajili ya action.
Pombe za Pepopni ni tofauti na pombe zenu za duniani .Pombe za peponi hazileweshi kabisa. Hata unywe Pipa nzima huwezi kulewa kabisa . Pombe zenu ukinywa chuapa 3 tu umelewa pombe za duniani zina madhara makubwa sana pombe za peponi haizina madhara kabisa.
 
Kuna pombe / alcohol ambayo haileweshi ?

Unachokisema ni sawa na kusema mabikra wa huko mbinguni hawana sehemu za siri.
 
Kila unachokifaham kipo peponi na kule sio dhambi, Inshallah M/M atujaalie tukayapate maraha ya pepo
 
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,

Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.

Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi gani na kula kitimoto, au nacho kimefichwa ili iwe surprise ya kushushia hizo pombe mbinguni ?

Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa kwasababu ina madhara mengi

  • Huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
  • Ugomvi - hupunguza uwezo wa kucontroll hasira.
  • Kutukana matusi - Mdomo utasema unachotaka
  • addiction / uraibu
  • imefanya wengi kufukuzwa kazini hadi mawaziri
  • Kuzima
  • Kutembea kwa kupepesuka bila balance
  • kujisaidia hadharani
  • Maumivu ya kichwa
  • Magonjwa ya figo, presha, kansa, n.k.

Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?

View attachment 2594036
Jibu la swali lako ni hili: chochote unachokiona Duniani ambacho ni kharamu kulingana na Imani za Dini ni mipaka Mungu ametuwekea wanaadamu ili tusimchukize. Hivyo basi ukifanikiwa kuingia PEPONI kule peponi hakuna mipaka yeyote Chochote kharamu Duniani PEPONI ni Halali yani ku enjoy tu. Hakuna ibada yeyote ni kuponda raha juu ya raha chochote utachotaka utapata.. ishu ni kupenya kuingia PEPONI
 
Mathew 26:29
Nayo inasema kutakuwa na mito ya pombe?

Ila kweli hamna logic. Uzuie pombe hapa duniani. Halafu peponi watukakutane na mito ya pombe. Hiyo mito inaishia wapi? Baharini? Bahari na yenyewe ni ya pombe?
 
Yesu atakunywa pombe na watu wema kwenye ufalme wa baba yake....wewe ndiyo huna logic,unapoambiwa suala Fulani dhambi ni muongozo wa kuishi hapa duniani siyo peponi,Sasa unataka dhambi ziwepo Hadi peponi!?
 
Jibu la swali lako ni hili: chochote unachokiona Duniani ambacho ni kharamu kulingana na Imani za Dini ni mipaka Mungu ametuwekea wanaadamu ili tusimchukize. Hivyo basi ukifanikiwa kuingia PEPONI kule peponi hakuna mipaka yeyote Chochote kharamu Duniani PEPONI ni Halali yani ku enjoy tu. Hakuna ibada yeyote ni kuponda raha juu ya raha chochote utachotaka utapata.. ishu ni kupenya kuingia PEPONI
Kuua, kuiba, kutamani wake za wengine, n,k vitaruhusiwa ?
 
Pamoja na kwamba sitaki kujibu hoja yako moja kwa moja ila nikupe tu taarifa kuwa; watu watakao kuwa Mbinguni watakuwa tofauti na hawa waliopo Duniani
Mf: hawatavaa Nguo ila hawatajiona Uchi, hawatakuwa wakufanya makosa kwani shetani atakuwa ameondolewa. Nategemea hata Pombe iliyotajwa ije kwa sura mpya, pengine isileweshe....
mabikira 72 tutawatumiaje
 
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,

Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.

Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi gani na kula kitimoto, au nacho kimefichwa ili iwe surprise ya kushushia hizo pombe mbinguni ?

Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa kwasababu ina madhara mengi

  • Huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
  • Ugomvi - hupunguza uwezo wa kucontroll hasira.
  • Kutukana matusi - Mdomo utasema unachotaka
  • addiction / uraibu
  • imefanya wengi kufukuzwa kazini hadi mawaziri
  • Kuzima
  • Kutembea kwa kupepesuka bila balance
  • kujisaidia hadharani
  • Maumivu ya kichwa
  • Magonjwa ya figo, presha, kansa, n.k.

Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?

View attachment 2594036
Wewe washangaa pombe,hudhangai,watakaokwenda mbinguni,,na kupakatwa na Ibrahimu?,Kama alivyopakatwa Lazaro na Ibrahim.**** kidume,aitwa Ibrahim,ukifika mbinguni,anakupakata,kazi kwako.
 
Back
Top Bottom