Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hana tatizo wewe ndio tatizoHuyu binti ndio tatizo mkuu.
Hata wewe hueleweki mkuu.Sawa mkuu ila huyu binti sitaki nataka ndiyo shida ilipo.
Anaeleweka, anataka ndoa.Kweli mkuu maana nikiwasiliana nae yeye mada zake na kuolewa tu.
Yeye anataka kwa lazima. Muelewe hivyo. Ukishindwa kumuelewa tatizo ni lakoSasa ndoa ndio inatafutwa kwa kulazimisha mkuu?
uliziona ?bra bra zake
Mwambie sasa.Yeye kama anataka ndoa atulie maana mwanaume wa kuoa atafutwi kinguvu mkuu
Na wewe ukatafute ambao hawalazimishi ndoa, mbona wapo?Duuh kama ndio hivi basi akatafute mtu wa kumuoa directly mbona wapo
Ndo ukae nao mbaliHawa wanaotafuta ndoa kwa nguvu wanaishiaga pabaya mkuu.
achana nae, piga puliHaeleweki huyu mtu mkuu